Adiuta Business Assistant APIs for Developers

Stefano Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
5,290
2,000
Tuna mpango wa kufungua APIs za Accounts & Inventory Sales platform yetu. Unaweza kusoma habari zake hapa, kwa ambaye hajawahi kuisikia.
Tunaalika developers ambao wana project zinazohitaji Accounting functionalities lakini hawana mpango wa kuandika Accounting Package wenyewe. Hizi APIs zitamsaidia Developer kuongeza huduma hii na kuwavutia wateja zaidi.

Mfano unauza Software ya shule, na mhasibu anataka ripoti za kihasibu. Unaweza kuunganisha na mfumo wetu ukazipata bila shida, kwenye Web na Mobile app. Au una Platform ya Restaurants, na mmiliki ana taka ripoti hizo za kihasibu. Developer atafaidika na comissions atakazokuwa anapata kila mwezi kwa kila mteja.

APIs hazijawa opened bado na tunahitaji limited number ya developers ambao watafaidika na phase hii ya kwanza.

Vigezo ni:
1. Uwe na mfumo ambao unatumika angalau kwa miezi sita sasa
2. Mfumo uwe na watumiaji angalau 10
3. Watumiaji wawe wanahitaji kuunganishiwa mfumo wa kihasibu/mauzo.

Kwa maelezo zaidi, unaweza kuuliza hapa au
Piga: 0673651520 au 0767893474
WhatsApp: 0767893474
Instagram: adiuta_biz
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom