Adhabu ya wezi mtaani kwetu

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Hapo wanazungushwa siku nzima afu wanaachiwa huru
 

Attachments

  • wezi uchi.jpg
    wezi uchi.jpg
    46.6 KB · Views: 1,726
Adhabu maridhawa. Psychological zaidi. Inamfanya mwizi asifikirie kuiba tena!
 
attachment.php


Hii ni adhabu nzuri sana kuliko kuwavalisha matairi shingoni au kuwamwagia mafuta ya taa/petroli na kisha kuwatia kibiriti.
 
ari tunayo, niya tunayo, nguvu pia tunayo sasa ni nani kweli atamvisha paka kengele? tunaadhibu "small fish" alafu mifisadi papa inapeta tuu. yaani hapo ukibadilisha hao sinzia ukamweka seasoned fisadi itakuwa byee sana. aliyepanda juu lazima ashuke chini
 
ni sawa na mlimani city wiki ilopita dogo kaingia game kaanza kuiba vi2, c wakamkamata, kwanini dogo mulemule ndani wacmvue nguo zote afu wakamwambia nenda kwenu.
 
Back
Top Bottom