Adhabu ya vyeti feki

Mine eyes

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
6,431
7,090
Habari wakuu..

Naomba kufahamishwa, anayekutwa na kosa la kusajili kwenye vyuo vikuu cheti feki adhabu yake inakuwaje?

Na anaweza kuweka wakili kutokana na aina ya kesi ilivyo? Na kama alihadaiwa au kushawishiwa hapo inakuaje?
 
Back
Top Bottom