Adhabu ya usaliti tayari, Vipi kuhusu jinai?

Mzee23

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
1,696
3,472
Habari wadau wenzangu wa siasa,

Tumeona wale 'kumi na tisa' wakiadhibiwa na chama chao kwa usaliti wa maazimio na misimamo ya chama chao kuhusu yaliyojiri 'Oktoba ishirini na nane' hukumu tuliyoitarajia. Swali langu ni kuhusu tuhuma za jinai zinazosemwa na viongozi wao!

Maana kosa lao mojawapo ni "kughushi nyaraka za chama na saini ya katibu mkuu" na kisheria ni jinai kughushi nyaraka! SWALI; VIPI KUHUSU TUHUMA ZA KUGHUSHI?

Maana lisiposhughulikiwa hili itaonekana hata adhabu waliyopewa ilikuwa kiini macho tu wakati viongozi walihusika kubariki zoezi!
 
Kwamba hiyo kesi itaamriwa na nani? Hakuna udikteta mbaya kama pale mahakama zote zinakumbatiwa.
 
Kwenye Mahakama gani twende...
Hizi ambazo ziko chini ya commander ni chief..
 
Back
Top Bottom