Adhabu ya kutopandisha Bendera ya Taifa kwa Taasisi mbalimbali nchini

Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
3,248
6,264
Habari wakuu.

Naomba kujua adhabu inayotolewa kisheria kwa taasisi yoyote nchini itakayoshindwa kupandisha bendera ya taifa aidha kwa makusudi, kujisahau au kwa sababu yoyote ile.

Natanguliza shukrani.
 
Tunapolilia Demokrasia Kama ya Marekani pia Tulilie uzalendo kama wa Wamerekani.

Kutokupandisha sijui hukumu yake.
Ila Kudharau wakati wa kupandishwa ni miezi 18 jela
 
Tunapolilia Demokrasia Kama ya Marekani pia Tulilie uzalendo kama wa Wamerekani.

Kutokupandisha sijui hukumu yake.
Ila Kudharau wakati wa kupandishwa ni miezi 18 jela

Ok, sawa. Kuna mahala niliona ni week 3 sasa hawajapandisha bendera bila sababu ya msingi, ndo maana nkataka kujua. Huenda hawajui consequences za kutofanya hivo.
 
Back
Top Bottom