Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

"Why do we Kill People who Kill People to Show that Killing People is Wrong ?"

Je ni sawa kuwa na Hukumu ya Kifo?

Baada ya yule Chizi wa Norway kuua kadamnasi ya watu (ukizingatia Norway life Sentence ni limited kwa miaka 21 tu) Je ni muhimu kuwa na hukumu ya kifo? Ni nini hasa faida ya hukumu ya kifo?

Je hukumu ya kifo inafanya watu waogope kutenda maovu kwahiyo ni njia nzuri au ni kuonyesha hata sisi hatuna tofauti na waliofanya hayo maovu?

I can argue kwamba huenda hukumu ya kifo ni adhabu rahisi sababu badala ya kumfanya mtu ku-suffer kwa kosa lake, tunampumzisha. Je sio vema kumfunga mtu maisha na kumfanyisha kazi ngumu kwa maisha yake yaliyobaki na kila alichonacho au atakachokitengeneza kiende kwa wale aliowatenda?
Sheria haiwezi kupitwa na wakati bali watu ndo ndo wanaopitwa na wakati wanatunga sheria zinazoweza kuwabeba au kuifanya jamii iwe zembe! Sheria ni nzuri cha msingi ni wether mtu alifanya makusudi au kasingiziwa? Kwa sababu kwenye jamii kuna vichaa wanawaza kuua watu Kama majambazi utakuta mtu mwizi mdogo tu anafanya armed robbery anaua kisa anavizia kaduka kadogo! Kazi ya sheria ni kudhibiti vitendo viovu na au watu waovu.
What do you think?
 
Kwa upande wangu kwa kweli sikubaliani na hukumu ya kifo na sidhani kama inaleta nidhamu kwenye jamii, kwamba wengine wataogopa kufanya mauaji!

Mabadiliko ya mtu hayatokani na hofu, bali inahitajika badiliko la ndani kujua kuwa kuua ni vibaya, na sipaswi kufanywa hivyo!
Ndo maana ukasema upnde wko, am sorry Dada iko hivi binafc nafkir kuwa Karibia vfngu vyote vinavyozngumzia maswala ya utoaji wa hukumu kwa wakosaji 90% tumevirith kutoka kwa wakoloni (colonial legancy) kwa maana nyngne Sina uhakika kama watanzania walio wengi wanakubaliana na hlo jambo lkn kwa vile serikali inaongozwa na wachche na most of them wanamonopoly rights hvyo ni vgumu xana hlo jambo kulipnga kwa mtu mmoja mmoja,
 
Hukumu ya kunyongwa hadi kufa si Sawa,
Kwa kuangalia Kwa kina kosa linalipizwa Kwa kosa. Baadae itakuja ukiniibia shati utanyanganywa shati, nikibaka nibakwe,nikilawiti nilawitiwe, nk Adhabu ya kuishi gerezani milele ni Adhabu kubwa kuliko kunyongwa.

Adhabu ya kuwekwa lockup Siku tano ni Adhabu kubwa pia. Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ni ya kuondoa
 
Hata vitabu vya kidini vinaunga mkono death sentence, naanzaje kuipinga?

Sema tatizo ni mode of execution, tutumie electric chair, au mercy death!
 
Back
Top Bottom