Danp36
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,097
- 920
adhabu hiyo inafaa kabisa.china inawasaidia sana kupunguza mafisadi na wenine wauajikuhusu kufuta hukumu nyingne mbadala mm nahc haitowezkana. . Na kuhusu kurundkana jela sheria inasema hata baada ya mtuhumiwa kuhkumiwa adhabu ya kifo mpka rais wa jamhuri azihirishe na adhabu hiyo na baadae atie saini kwenye utkelzaji wake.. Shida inakuja wapi maraisi wetu hawki kusaini..
Hiyo ndo sabbu ya hao watu kujaa tu gerezani na kunnepea hovyo...