Adhabu ya kuchefua

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,736
6,972
Hebu niambie ni adhabu gani ukiifikiria unaweza tapika hata ukiwa mwenyewe

Nimekaa nikawaza huu ujinga nikajikuta nashikwa na kichechefu.

Hivi ukiambiwa uteme mate yajae kikombe alafu uyanywe utaweza????
 
Back
Top Bottom