Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Vitabu vya dini vinasema tuitii Serikali

Kama wewe unasema eti mimi najifanya mjuaji wa dini basi acha kuitii Serikali hapo ndo itajua dini ilimaanisha nini kusema hivyo.
 
Adhabu gani ya kishenzy hivi mkuu?
Suala si adhabu ya kishenzi ama sio ila inabaki kuwa ni adhabu na si mauaji,wangetaka kufanya mauji si wangewauwa tu kimya kimya mbona ni kawaida kwa hizi serikali zetu kutesa watu na hadi kuwauwa na kimya kabisa.
 
Dah kuna video nliiona mama anachinjwa aiseee huyu jamaa amayechinja kweli huwa analala usingizi unakuja?!
 
Na ndio maana kunakuwa na discipline ya hali ya juu kabisa,hakuna ukimwi,wizi,na mambo ya ajabu sana,hukumu hizo zinawatia watu khofur sana na kufuata sheria,ningependelea na kwetu zije alau tuwe na nidhamu.
 
Saudia arabia siwapend mtu mm.muslim ila wanachofanya n matakwa ya kisiasa kujiweka salama lakn pia adhabu hizi ukiwa mgeni ni rahisi sana kuchinjwa hata kwa jambo dogo... pia ukiwa unapinga ufalme umeksha... ila mungu ataleta wepec ipo siku ufalme utasambaratshwa mbali...
 
Saudia arabia siwapend mtu mm.muslim ila wanachofanya n matakwa ya kisiasa kujiweka salama lakn pia adhabu hizi ukiwa mgeni ni rahisi sana kuchinjwa hata kwa jambo dogo... pia ukiwa unapinga ufalme umeksha... ila mungu ataleta wepec ipo siku ufalme utasambaratshwa mbali...

naomba untagg kwa mwendelezo na topic zote unanisahau sana bold nipo
 
Mkuu Makala imetulia, hongera sana. Niongeze katika tag list yako Mkuu.
 
Nlipata kazi saudi arabia. Nlikataa kwenda ingawa mjomba wangu alitaka sana niende ishi huko. Ni nchi yenye ukatili. Bahat nzuri yeye ni mwarabu mswahili hivi.mimi ni mwafrika ingawa nina weupe ila naonekana waz tu ni mwafrika.

Huwa anasimulia mikasa mingi sana ya kikatili kwa watu wa huko hasa kwa wageni.ingawa anasema pia good people wapo.ila anasema ni wakatili sana na hawaelew yaani hawatak kureason wana jazba sana.

Kuna baadhi ya waarabu anasema afadhari hasa misri huko anasema si kubaya sana kwa maeneo kadhaa. Otherwise ni kama waarabu wengi wana ukatili wa asili flan hivi. Na wengine wanajifichia kwenye dini ili kutimiza ukatil wao.

Nmesisimkwa sana kusikia mtu anachinja binadamu mwenzie na anaishi kama kawaida. Mungu aliamua makusudi aghairishe hukumu hizi za kikatili. Anayetubu atubu asiyetaka atengwe na binadamu wengine wema.afungwe.but kuchinjana tena hadharani? No comment.
 
Kuchinja watu

Hata kama ni adhabu, kitendo cha kuchinja watu hadhalani sio jambo jema hata kidogo.

Nchi nyingi wanapo nyonga watu hufanya kwa kificho wasiohusika wasione

Nakumbuka kitendo cha Sadam Hussein kunyongwa na kuonesha mubashara kwenye TV, kulilalamikiwa sana na mashirika ya kutetea haki za binadamu

Ivi unapochinja watu mbele ya watoto unawafundisha nini, kuwa wawe makatili, waone jambo hilo ni la kawaida tu, waweze kujaribu katika michezo yao, waweze kuwasimulia wenzao wasioona jambo hilo

Huyo mchinjaji mwenyewe ni katili.
Inaaminika nchi yetu yaani watawala wetu wanaogopa hata kuidhinisha adhabu ya kuwanyonga watu waliohukumiwa adhabu hiyo.

Inasemekana aliyenyongwa ni mmoja tu aliyemuua kwa kumpiga risasi Mkuu wa mkoa aliyejulikana kama Dr. Kreluu. Mkulima aliyeitwa Mwamwindi

Ona jinsi baadhi ya Serikali zinavyoogopa kunyonga watu.
Sasa Nchi inachinja wakosaji hadharani tena kwa uwingi (mass behadings) ni ukatili usiotakiwa kushabikiwa.

Halafu kuna tendo la mtu kuhukumiwa kifo kwa makosa,
au kwa kushindwa kujitetea au kwa kusingiziwa au kwa visa vya chuki binafsi
Kama atakaa muda fulani anapata fulsa ya kukata rufaa na kuweza kushinda rufaa yake hivyo kukwepa kifo

Kama mtu anahukumiwa, halafu adhabu ya kumyonga kufanyika harakaharaka basi wako watuhumiwa wengi walio chinjwa kimakosa, hivyo kuuawa kwa kuonewa, au jambo hilo linafanyika kwa hila.

Nadhani mashirika ya kutetea haki za binadamu ambayo yanapinga adhabu hiyo yamekata tamaa kukemea jambo hilo kwani yanapuuzwa na mamlaka ya nchi hiyo

Poleni wananchi wa Saudi Arabia,
mimi siendi Saudi Arabia naogopa naweza nikasingiziwa kosa au nikafananishwa na mkosaji nikawa BEHADED

Chao.
 
Wapi kwenye qur-an kumeelezea wa2 wasome biblia acha kufananisaha tui la nazi na maziwa ww ww fuata imani yako wacha ss tufuate dini
Si amemweleza alotangulia aelewe Jaman? Lakini so kweli mmeambiwa muwaulize wasomao vitabu? Au aya ilimaanishaje?
 
Wewe unaona hizo adhabu sio sawa ila wengine wanaona ni sahihi maana binaadamu tunatofautiana,kwani imani yako inasemaje mfano kuhusu mtu aliyeua?
Wewe umeona sahihi mtu auawe hivyo? Jiulize nchi nyingine za kiislam kwa nn hazifanyi hivyo? Nikusaidie tu Ni kwa sababu zimeona mapungufu katika hilo.
Sasa kuhusu imani yangu sijaruhusiwa kukata wengine vichwa nimefundishwa kusamahe.
 
MKUU UMEONGEA KI2 PANCTUAL SANA UNAJUA HAWA WA2 WANATAKA YAANI TUISHI KAMA DINI ZA MAGHARIBI HUKO YAANI USHOGA NDOA ZA JINSIA MOJA KWA WALE WAPENTECOSTE WA NCHI ZA NJE WAO WAONE POA 2 HAMUNA KI2 KAMA HIYO HOZO SHERIA ZA KWENYE MKUSANYIKO WA VITABU (BIBLE) MLIZITUNGA NYIE WENYEWE YAANI HATA AMRI NA MAFUNDISHO NDIYO NYIE MNAYACHAMBU What a dissrespect ??????????
Na Mohamed akawashauri muwaulize hao ulowatukana mkiwa na swali.

Kweli mpo kwenye dilemma.
 
Na wale wanaochomwa moto na kuliwa nyama kule burma sio binadamu na ni waislamu wale
Kwa hiyo wengine wasisaidiwe mpaka waislam wa Burma kwanza wasaidiwe?Hatuungi mkono yanayotokea Burma ila ungeanzisha uzi wako kutujuza hayo na huu uzi acha tutoe mawazo yetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom