Adhabu ya FIFA kwa Simba na Kichuya: Namuona Kichuya kwenye mechi ya Azam dhidi ya Namungo. Adhabu ile ilifutwa ?

Kichuya alipewa adhabu ya kufungiwa (miezi 6) na sio faini.
Adhabu ya faini walipewa Simba.
Mimi nauliza juu ya uhalali wa Kichuya kucheza mechi hii wakati amefungiwa.
KUNA CHANZO KINADAI KUWA SIMBA WAMEPELKA MAOMBI YA KUPITIWA UPYA SHAURI LILE (KICHUA + FAINI YAO). KWA HIYO TUSUBIRI HILO SHAURI LIPITIWE UPYA
 
Kichuya alipewa adhabu ya kufungiwa (miezi 6) na sio faini.
Adhabu ya faini walipewa Simba.
Mimi nauliza juu ya uhalali wa Kichuya kucheza mechi hii wakati amefungiwa.
Kichuya atapewa adhabu hio au nyingne km simba itashindwa kulipa hio fain. Kwa sasa Simba wameomba mapitio fifa hvyo ile adhabu automatically haipo mpka fifa watakapoleta adhabu for the second time baada ya mapitio
 
Back
Top Bottom