Adhabu nyingine bana?

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Hao ni wanafunzi wanapewa adhabu na mwalimu wao.

attachment.php
 
Attachments

  • adhabu.jpg
    adhabu.jpg
    47.7 KB · Views: 306
Wajomba nilifundishwa na mwalimu Dionese shule ya msingi alikuwa mkali sana lakini ya huyu mgoa imekuwa kali zaida!
 
Hao ni wanafunzi wanapewa adhabu na mwalimu wao.

attachment.php

Huyu mwalimu anatakiwa kupelekwa kule Kagera atoe adhabu kwa walimu wanaofanya uzembe wa kufelisha wanafunzi. naamini watanyooka badala ya kuwachapa viboko
 
Huyu mwalimu anatakiwa kupelekwa kule Kagera atoe adhabu kwa walimu wanaofanya uzembe wa kufelisha wanafunzi. naamini watanyooka badala ya kuwachapa viboko

Hawezekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kama ni kweli huyu mwalimu anatakiwa ashitakiwe. Maana akiwakanyaga na hiyo toyo take si vidole vitapondeka pondeka jamani.
 
maisha yangu yote nilitamani kuwa mwalim, nasababu yakuhitaji kuwa mwalimu ni tabia kama hizi, za kuwafunza adabu watoto wasiofunzwa na wazazi wao.....unaweza kukuta hao watoto ni wachafu hawajaoga.
 
Back
Top Bottom