baraka bb
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 2,691
- 3,858
- Thread starter
- #41
yaan aniwekee bomba la kuangalia juu kama yale wanayowekaga kweny mashimo makubwa kwa ajir ya kutolea hewa?Wakati mwengine mambo kama haya unatafuta hata fundi hapo mtaani unamshirikisha ili akupe njia ya kusawazisha baadhi ya mambo otherwise utadhalilika kama inavyotokea hapa.
Siyo kwamba humwagi maji mengi uchafu ukaenda hiyo hali inatokana na mgandamizo wa hewa kwenye shimo kubwa nje,obviously tatizo lipo kwenye line ya kutoka chooni (humo ndani) kwenda kwenye septic tank hawakuweka bomba mmabadala kuzuia harufu isirudi ndani,fanya hivi.
Kama pale kwenye shimo kubwa nje imewekwa bomba moja ita fundi akuwekee lingine hapo lilipotokea bomba la kusafirisha uchafu (namaanisha hapo karibu kabisa na ukuta wa choo chako cha ndani) hiyo hali itaisha.