Adhabu mbadala katika kesi za jinai, je zina faida katika jamii?

MONSI WENGA

Member
Aug 7, 2011
51
34
Tarehe 03/02/2012 ni sikukuu ya sheria "LAW DAY" ambapo wafanya kazi wote wa Mahakama na taasisi zinazohusika na Mahakama wanajumuika pamoja ili kujikumbusha na kujizatiti juu ya maadili mema na utendaji bora wa kazi na utoaji haki Nchini. Theme kwa mwaka huu ni; "ADHABU MBADALA KTK KESI ZA JINAI NA FAIDA ZAKE KTK JAMII". Nawasilisha kwenu wadau tujadili.
 
Imekuja wakati Muafaka. Msongamano wa wafungwa magerezani, ni gharama kwa serikali na jamii. Mara anapomaliza kifungo tunajiuliza je amerekebishika? Jibu ni hakuna kitu alichorekebishwa.

Wanaishia kuambukizana magonjwa kwa sababu ya Hali duni za magerezani etc.
 
Back
Top Bottom