Adhabu kubwa kabisa utakayompa mumeo kwa kufanya mapenzi na mdogo wako ukiwa mjamzito?

kwa kiasi fulani matatizo tunayaleta wenyewe wenye ndoa! hebu fikiria unamleta mdogo wako toka kijijini humpakingii mpango wa maendeleo wa maana unamuweka kama mfanya kazi wandani kibaya zaidi unamtenga na familia yako kwa kiasi fulani licha ya kumwamuru amuhudumie kila kitu shemeji yake! unategemea nini? achilia mbali unaruhsu uvaaji wa ajabu ajabu ndani kwako na closed joke na mizinga au msaada wa moja kwa moja shemeji kwa shemeji uafikiri nini kitatokea? samehe kwa kua ukihesabu huna mume wenzako watamchukua na kaa ukijua wanawake siku zote ni wapotezaji zaidi kuliko wanaume samehe haraka sana (7x70=490-1=489 bado zipo za kusamehe wewe unashindwaje kuvumilia?
 
Mbali na kumtetea, au kumtakia adhabu kubwa kabisa,mimi sioni
kwa nini umwadhibu? Wengine tuna myoyo ya kusamehe. lol

Kusamehe nayo ni adhabu unajua? Ila kama ni "kubwa sana" au "ndogo sana" sijui.
 
Kusamehe nayo ni adhabu unajua? Ila kama ni kubwa sana au ndogo sana sijui.
Adhabu has to be done with a punitive intention.
Mi nasamehe roho safi kabisa, nawatakia kila la heri
Na wakizaa wampange mtoto jina langu, nitakua Godmother
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ndugu yako wa karibu amewahi kukutana kimwili na mkeo/mumeo? Ulisamehe?

kwa kiasi fulani matatizo tunayaleta wenyewe wenye ndoa! hebu fikiria unamleta mdogo wako toka kijijini humpakingii mpango wa maendeleo wa maana unamuweka kama mfanya kazi wandani kibaya zaidi unamtenga na familia yako kwa kiasi fulani licha ya kumwamuru amuhudumie kila kitu shemeji yake! unategemea nini? achilia mbali unaruhsu uvaaji wa ajabu ajabu ndani kwako na closed joke na mizinga au msaada wa moja kwa moja shemeji kwa shemeji uafikiri nini kitatokea? samehe kwa kua ukihesabu huna mume wenzako watamchukua na kaa ukijua wanawake siku zote ni wapotezaji zaidi kuliko wanaume samehe haraka sana (7x70=490-1=489 bado zipo za kusamehe wewe unashindwaje kuvumilia?
 
daah huwezi amini tangu mda ule nafikiria bado sijapata jibu... ngoja niendelee kufikiria kidogo

nilijua ni mimi 2 kumbe tuko wengi yaani mi sioni adhabu ya kumfaa maana nikimwacha shosti ataendelea kujivinjari,sa nimfanyaje!labda mtoto anayefuata nimpate na mwanaume mwingine!embu niendelee kuwaza
 
Back
Top Bottom