Adhabu kubwa kabisa kwa mpenzi wa zamani (ex)

olele

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
1,305
1,569
Jamaa mmoja huko marekani baada ya kuachana na mke wake na mke wake akaenda
kuolewa na jamaa mwingine, alichokifanya akaenda kununua nyumba jirani kabisa na X wake
alipoolewa alafu kwa kibarazani kwa nje akaweza hii sanamu.

Middle-Finger2.jpg
 
What's with all that drama?

That suggests to me that she's still not out of his system.
 
Hizo ni pesa zilizopitiliza...Utasikia cost ya hiyo sanamu ni milion 200 za Kitanzania...
 
Kama ndio mimi naweka lisanamu lingine kwa pembeni la kumjibu Ujinga wake.
 
Back
Top Bottom