Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,833
- 155,780
kwa hiyo kwenye hiyo picha wewe ni yule unaetabasamu kwa mbele, mwenye singlend ? ama ? maana Kiranja nawe umeshiriki kwenye tukio la aina yake.Jana ilikuwa kimbembe mitaa ya kwetu.
Walizungushwa tangu saa nne asubuhi hadi saa tisa.
Nilikutana nao mitaa ya jeshini, ilikuwa safi sana.
Kwa aibu waliyoipata nadhani itasaidia kupunguza wezi.
Sijui nifanya nini niibe halafu nivuliwe nguo, nizungshwe mji mzima halafu unakutana na wakwe zako na wanao, sijui sura utaificha wapi??
Wanajifunza kuwa Wizi ni mbaya, na ni mwiko kuiba, hahhahhahaaa, inanikumbusha ule wimbo wa kikojozi na nguo Tuzitie moto, enzi zilee unazungushwa mtaa mzima.Dunia] imefika mwisho, Binadamu tumegeuka kuwa Wanyama hatuna utu kabisa.
Jiulize Watoto wadogo wakike na kiume walioona laivu kituko hiki, watakuwa wamejifunza nini pamoja na taswira ya picha iliyoko kichwani mwao?