Adhabu impasayo mtu aziniye na mke wa ndugu yake

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,627
154,987
Kuna mpangaji mwenzetu kamfumania kaka yake (toka nitoke) akizini na mke wa mdogo wake.
Je ni adhabu gani ambayo anastahili mke wa huyu mpangaji wetu na pia kaka wa huyu mpangaji wetu?
Adhabu za hapa duniani na pia mbinguni?
 
Hujasomeka Mkuu, aliyefumania ndio mwenye mke au mwenye mke ni mwingine?
 
Kwa TZ hakuna adhabu,ila nchi zinazotumia sharia ni kupigwa mawe hadi kifo kitakapokuchukua.
Kwa mungu sijui maana wanaweza wakatubu kabla ya kifo chao waka hawana hatia yoyote ile, cha muhimu ni kusamehe 7 mara 70.
Jamani tujifunze kusamehe watu na ukiona huwezi kuishi nae basi achaneni kwa Amani kila mtu aishi maisha yake.

 
Kwakweli inauma sana kufanyiwa jambo kama hilo na damu yako lakini ndio limeshatokea, huyo mke nae sie vilvile manake yani inakuwaje uwavulie nguo ndugu wote? kwa utamu gani hasa usoujua mpaka upagawe kumchukua shemeji yako loh! Mungu atunusuru unaweza ukafanya watu wakauwana,mwenyezi mungu atampa huyu aloibiwa subra aweze kuyahimili hayo na mengine.
 
Kila mtu alikuwa anatumia mwili wake kujipa raha. Tuwaache wanandoa waamue wenyewe. Hakuna haja ya adhabu.
 
Kuna mpangaji mwenzetu kamfumania kaka yake (toka nitoke) akizini na mke wa mdogo wake.
Je ni adhabu gani ambayo anastahili mke wa huyu mpangaji wetu na pia kaka wa huyu mpangaji wetu?
Adhabu za hapa duniani na pia mbinguni?

Na yeye amvizie mke wa Kaka ammege itakuwa Ngoma droo ha ha haaaaaaaaaaaa ila Haitaondoa machungu ya Kumegewa
 
Kuna mpangaji mwenzetu kamfumania kaka yake (toka nitoke) akizini na mke wa mdogo wake.Je ni adhabu gani ambayo anastahili mke wa huyu mpangaji wetu na pia kaka wa huyu mpangaji wetu?Adhabu za hapa duniani na pia mbinguni?
Adhabu ya mbinguni mimi siwezi kujua, ila mungu pekee, lakini pia duniani sidhani kama wanastahi kuadhibiwa koz wao ni watu wazima na walikubaliana, ila cha kufanya ni kumshauri mwenye mke aamue kumruhusu mwanamke waishi na huyo mdogo wake kwani inaonyesha mdogo wake kapendwa zaid kuliko yeye.
 
Katika biblia wote wawili wanastaili kufa hiyo imeandikwa katika kumbukumbu la Torati 22:22
 
Back
Top Bottom