Adhabu au mazoezi?

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
i1253_761814382412491365149991325041505813856n.jpg

 
Sio mazoezi, ni adhabu wanayopewa watoto kama wameiba au kudokoa kitu.
 
huyu muuaji, kumbe uhindini kuna abuse za hivi. tumshukuru Mungu kwetu hakuna ushetani kama huu.
 
hii ni adhabu loh!!! wakitoka hapo tuvidole tumevunjika kwa kweli!!!
 
Back
Top Bottom