Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 622
- 581
Hi adha itaisha lini? Hii ni leo asbh hapa Kimara Terminal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udart pia ni muwekezaji, sio serikali!Huu mradi ni bora wangepewa wawekezaji tu,ama waturudishie daladala zetu
Daaah kumbe aliutaka wangempa tungekuwa mbali sana wafanya biashara makini hujali standardsbakhressa aliutaka huu mradi mkamchomolea mkiona atafaiiiiiidi wenyewe
Bado eitisielo!Uda kwa nini ilokufa?
Mashirika ya umma yalikufa kwa upuuzi huu huu.
Waliopewa mamlaka kujisahau
Ni kero mnooo mkuu,wangeruhusu mabasi makubwa yakaenda posta na kariakoo,angalau asubuhi na jioni.kila siku tunalalamika,ni kama hakuna anaetujali.Foleni ya kukata ticket dk 40, dk 40 zingine za kupanda basi