Adha ya mvua imenifanya nikimbie uswazi

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Adha ya mvua jijini imenifanya nimkimbize wifi/shemeji yenu uswazi maana nimeona jamaa wanao toa msaada wa kumvusha kwenye madibwi kama wanafaidi hivi. Bora nimsogeze mjini tu.
mvua.jpg

Hapa jamaa akiwa amebeba je hamuoni kama jamaa anafaudu kimtindo? Angalieni mkono huo.
 
Ahh wapi..!
Mtu wa kijijini huyo, hajui a wala be ya hayo maeneo aliyoshika!
 
Siku mbili tatu nimeona hakuna mvua nimeamua arudi tu uswazi maana gemu za uswazi ni tamu sana
 
Adha ya mvua jijini imenifanya nimkimbize wifi/shemeji yenu uswazi maana nimeona jamaa wanao toa msaada wa kumvusha kwenye madibwi kama wanafaidi hivi. Bora nimsogeze mjini tu.
mvua.jpg

Hapa jamaa akiwa amebeba je hamuoni kama jamaa anafaudu kimtindo? Angalieni mkono huo.

Ha ha ha ha ha si wanambemba tu mgongoni...anafaidi nini hapo? :) LOL! Karaha za bongo hizo! Mvua ya dakika 20 tu basi jiji zima linafurika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom