Aden Rage, Simba na Tabora Mjini

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,689
Huyu mheshimiwa na Simba yake hivi karibuni matamshi yake yanaonekana kama amepata ugonjwa fulani wa akili uitwao "Simple schizophrenia" dalili zake ni kusema maneno mengiiii, na kuruka topic moja hadi nyingine bila mpangilio
Mfano:
-Tawi la simba la mpira pesa nimelifuta
- Kamati zote nimezifuta nitazipanga upya
- waliomtukana Kaseja nitawashugulikia
- Kodi ya pango katika mbao za biashara jengo la simba nitaziangalia upya
- Naenda Tabora kupumzisha akili nitarudi

Mtu kama huyu tumtegemee ataleta ubunifu wowote hapa jimboni ukitilia maananni CHADEMA wanavyotukimbiza CCM sasa hivi, cM4C ikiingia jimboni inasomba wanachama wetu wote, ama kweli wanyamwezi tumeumia.
 
huyu ni nani tena? au ndio yule mkimbizi anayetembea na mabastola mitaani?

ni yule aliyefungwa kwa kashfa ya wizi wa fedha za FAT, akatoka kwa msamaha wa rais akaja kula pesa iliyotolewa kama rambirambi kwa marehemu Patrick Mutesa Mafisango, na akatishia watu bastola huko Igunga na kutangaza kuwa mgombea wa chadema amejitoa kwenye uchaguzi sababu mojawapo iliyosababisha matokeo ya uchaguzi kutenguliwa!
 
Hatumtaki keshafanya kazi tuliyomtuma (Simba5_0Yanga) imeisha sasa atuachie timu yetu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kosa la Rage ni kuwagusa watu wa EPA,tusiwe wajinga...hajakuwa na rekodi mbya kumfikisha alipo pale simba..hii ni conspiracy ambayo imewaingiza mtegoni watu wengi ambao wamelewa na U-Simba na U-Yanga kama mleta thread hii..time will tell n kila kitu kitakuwa wazi.
 
Mmoja wa ma alhaji wanaopiga masanga na totoz kwasana. Fitna, unafiki, uongo, majungu, udaku ni sehemu ya maisha ya Rage
 
Hichi KINANA kinaniulia sana timu yangu......I hate SOMALIs (aka VINANA)

Ila kwa kweli CCM imepotoka kweli, KINANA hana maadili ya kuwa KATIBU MKUU subiri muda si mrefu marekani itaioredhsha CCM kama kundi la kigaidi kwa kuisaidia alshabab
 
Hatumtaki keshafanya kazi tuliyomtuma (Simba5_0Yanga) imeisha sasa atuachie timu yetu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Muwachwe mupumuwe, eti?

Sasa msimba-zii imegeuzwa mogadishu, na bado malizeni eda mrudi kuendelea kuchapika
 
sikijui kipindi chake cha uchezaji pale klabu ya simba alikimaliziaje ,yaani alistaafu, alifukuzwa au alihamia klabu nyingine, lkn nafahamu akiwa katibu mkuu wa klabu ya simba alianza porojo kama anavyofanya sasa , simba ilienda Brazil ziara ya mafunzo siku 45, iliporudi iliingia kwenye ligi na ilianza na CDA kule DODOMA washinda 3-0 , mechi ya pili walicheza na tumbaku morogoro wakashinda 4-0 , mechi ya tatu wakakutana na yanga matokeo yakawa 0-0. marudiano raundi ya pili simba akapigwa 3-1, simba wakianza kufunga mfungaji akiwa marehemu Mussa kihwelu, goli la kusini uwanja wa zamani taifa , magoli ya yanga yakifungwa na Charles Boniface Mkwasa goli la kaskazini kisha makumbi Juma [homa ya jiji] goli la kaskazini na Omari hussein [keegan] akiitimisha karamu ya mabao. baada ya hapo porojo za Rage zikaanza kushtukiwa matokeo ya timu yakawa hovyo , wanachama wakachachamaa akang'olewa ukatibu mkuu, leo hii simshangai mtu huyu hajabadilika ni mtu mwenye porojo mf; anasema ule waraka aliopelekewa na wanachama wanaotaka mkutano wa dharura, kwa kuwa haujakamilika basi kisheria unakuwa hauna maana sawa na toilet paper jiulize mkataba wa simba na kelvin yondan ulikuwa na mapungufu viongozi wa tff walimwambia hivyo2 kuwa ni sawa na toilet paper ila yeye akawa anatoa porojo kwa wana simba . hakika Rage ni shabiki si kiongozi wa hadhi ya mwenyekiti leo hii masuala ya simba anaenda kuyapanga mwenyewe huko mjini Tabora.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom