babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,056
- 15,917
Hii nchi haiishi kushangaza.nimeshangaa kuona jina la huyu mtu akiwa kama naibu mwenyekiti wa kamati hiyo.
Swali langu ni kama je hiyo kamati itakuja na majibu ya kuridhisha kweli.?maana ninavyoelewa huyu bwana nae ni kirusi hatari cha rushwa popote anapokanyaga.nishapoteza imani na hiyo kamati tayari hata kama sikuwa nayo.najua zitakuja blaah blaah tu kisha kimya