Aden Rage kuwemo kamati ya kuwajibisha wala rushwa wa Escrow!

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,102
15,993
Hii nchi haiishi kushangaza.nimeshangaa kuona jina la huyu mtu akiwa kama naibu mwenyekiti wa kamati hiyo.
Swali langu ni kama je hiyo kamati itakuja na majibu ya kuridhisha kweli.?maana ninavyoelewa huyu bwana nae ni kirusi hatari cha rushwa popote anapokanyaga.nishapoteza imani na hiyo kamati tayari hata kama sikuwa nayo.najua zitakuja blaah blaah tu kisha kimya
 
Kwa wale wa mwaka 47 watakumbuka kuwa aden lage hawezi ifanya kiueledi kazi ya kuwahukumu mafisadi wa escrow! miaka ya 70 alikimbia nchi baada ya kuiba pale dodoma cda, arirudi baada ya nyerere kutoka madarakani!
 
mmh kumbe lage wa long
 
Kwa wale wa mwaka 47 watakumbuka kuwa aden lage hawezi ifanya kiueledi kazi ya kuwahukumu mafisadi wa escrow! miaka ya 70 alikimbia nchi baada ya kuiba pale dodoma cda, arirudi baada ya nyerere kutoka madarakani!

Aiseee.......!!
 
Back
Top Bottom