Elections 2010 Aden Rage Ashinda ubunge TABORA

magnet1

Member
Nov 1, 2010
17
0
Aden Rage ashinda ubunge tabora kwa ticket ya CCM na CCM imecshinda kata 24 kati ya 25 chadema wamshinda kata ya misha
 
Hongera zake.. ila angeshindwa na yeye angetaka amoboe maboski wahesabu upya

kweli chechemee balah
 
Hongera,kasaidie sekta ya michezo maana imekufa ila usituletee Usimba na Uyanga kama jirani yako Kapuya na mwenzie Muzihir enzi zao.Tunataka hoja zenye akili bungeni si mizaha!!
 
Mnaleta wafungwa sasa?
Heshima ya bunge iko wapi hadi watu felonies kama huyu nae ni mbunge?

inasikitisha sana. kama hawa ndio type ya viongozi tunaopeleka bungeni, tunategemea nini? heshima iko wapi? this is so bad!! really
 
Aden Rage, kama ni kweli anaingia bungeni kubwabwaja tu, better he goes off........
 
Back
Top Bottom