Aden Rage aomba radhi; hakujua kama silaha iko kiunoni!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Jamani jamani msikilize aden rage clouds
anaomba radhi ati akujua kama silaha ile iko kiunoni na amekuwa nayo tangu 1996
na hana rekodi yoyote kuhusu silaha ile..anasema anaomba radhi watanzania akidai
akufanya makusdi na hata yeye binafsi alipopanda kwenye jukwaa alishangaa ati mwenyekiti
wa ccm wilaya bw michael akimmfungua shati lake na kulifunika..na kusema baada ya kufanya
siasa zake alimaliza na baya anasema ameshangaa hata wana ccm wenzake akiwemo be michael
akumuweleza kwa nini alimfunga shati lile na yeye kuja kuona silaha ile kwenye mwananchi gazeti

kwaa niaba ya watanzania mnasmaheje jamani??
 
Huenda mkewe ndo aloiweka hapo mpaka afikie kusema hajui kama iko kiunoni. Anachekesha walionuna, yeye alidhani ni dili kuweka hiyo misilaha hadharani. Atuwekee na simu yake kiunoni basi kama enzi zile kina Ally Choki na Marehemu Baba Diana (R.I.P).
 
Hivi tulihitaji kuombwa radhi au hili jambo ni la kisheria?.. Yeye asubiri hao wanaojiita wanasheria waseme kama ana kosa basi sheria ifuate mkondo wake.
Hivi haya majibu mepesi unaweza kumuambia mtoto akakuelewa kweli?..Ingelikuwa kadondokewa mdudu ndo unaweza kusema..Jamani sikuona!!..Lakini Silaha Umeivaa Kiuoni still bado unakuja na hadithi za kitoto..kwa kweli huu ni upuuzi pale unapotaka kuwafanya wenzako ni mbumbumbu.
Ni bora ukiri tu kuwa mimi ni MSOMALI kwa hiyo nilijisahau nikadhani niko Mogadishu..at least nitakuelewa..
 
Bull shit!!
Apeleke upuuzi huo kwa hao waliompa kura za kuwa mbunge....nao watakuwa wehu tu kama yeye.
What kind of a f@&ing excus is that??
 
Ina maana hiyo suruali alivalishwa akiwa usingizini ikiwa tayari na bastola,au ndo amesha zoea kutembea nayo mpaka imekuwa kama saa ya mkononi?
 
au baada ya masoud kipanya kumuuliza ni aina gani ya simu ndio akakumbuka..kuwa ana mguu wa kuku
 
Ndio zinaitwa siasa uchwara za viongozi uchwara wa chama uchwara
 
hujamalizia, kasema silaha zinahitajika sana igunga kwa sasa..ndipo simu ikakata.

aisee nilikuwa nakuja huko na mie network ikakata si unajua mambo ya tigo leo..yaani anadai pamoja na radhi
anasema hali ya hewa igunga inaitaji kuwa na silaha aisee simu ikakata sikuamini loh
 
anaweza badae akasema hata hakumbuki kama aliomba radhi, kuwa msahaulifu kiasi hicho ni hatari na ninafkiri ni ugonjwa ambao tayari unamdisqualify kumiliki hiyo silaha je siku akisahau akaamua kushoot watu itakuwaje? Basi akiri tu kuwa ana ugonjwa wa akili, tusubiri kikao kijacho anaweza kusahau kuvaa nguo akaingia mtupu mjengoni
 
Hata "Just Kidding" hakujua km amepiga picha 20% wa USA alishangaa amepigiwa cmu na pinda akimsifia kuwa alimfunikia mzee wa G Unit.
 
Okay,ni jambo jema mtu unapokosa na kuomba msamaha.Inapaswa angetueleza kama hakufahamu kua sheria haimtaki kufanya hivyo.Kwani kwa mazingira yale ya kua na silaha si ya bahati mbaya bali ni jambo la mandalizi.Sijui hofu yake ilikua ni nini?
 
Hawa wazee wa siasa uchwara wana ugonjwa wa kutokujua?
Hakujua kama amebeba silaha, hakujua kama inaonekana.
hata boss wake hajui kwanini tz ni masikini...hajui kwanini amepiga picha na 50 cent!
 
How can we entrust this guy to be a public leader in a least developed country like Tanzania? We have to envision of uprooting this kind of unproductive leaders.
 
Ina maana hiyo suruali alivalishwa akiwa usingizini ikiwa tayari na bastola,au ndo amesha zoea kutembea nayo mpaka imekuwa kama saa ya mkononi?

huyu inaonekana hata akivalishwa condom ajui kama amevaa wakifika nyumban wanavuliwa nguo wanakutwa na condom na wake zao
m nafikiri swala la kusoma muhimusana rage msikmbilie tu uongozi kuweni na ka elimu kadogo
 
Katika tabia zote mimi huwa nachukizwa na tabia za uongo, huyu mleta mada ni mzushi, alichokisema Rage ni kwamba hakujuwa kama shati lake lilifunuka, na yeye kila siku akitoka nyumbani kwake bastola yake huwa ni lazima iwe kiunoni. Ila kuna kitu nimegunduwa yale mahojiano waliyarekodi hayakuwa live, kuna kauli Rage alikuwa ameanza kuongea hawa wapumbavu Kibonde&company wamekata yale mahojiano maana yangeibuwa mjadala mkubwa zaidi. Lakini wenye akili tumeshajuwa alitaka kuongea nini. Ilikuwa ni kauli ya kudefence zaidi kitendo chake lakini ni kauli yenye madhara makubwa sana kwa chama chake, maana ccm inahubiri Tanzania tuna amani huku viongozi wake wanapanda na silaha majukwaani.
 
Hilo Rage kachemka angeomba radhi siku iliyofuata baada ya silaha kuonekana katika gazeti. Amesubiri hali imekuwa mbaya ndiyo anaanza kuomba msamaha, anakumbuka shuka kumekucha.
 
matola umewela sawa,ila pale silaha muhimu jamani pale ni p[iga ua watu wapate chao iwe kwa silaha kibindoni iwe kwa makomandoo hii itufundishe wananchi tunavyo jeuzwa mradi.sasa uchaguzi ukipita kama utaisikia igunga tena
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom