Aden Rage aomba muongozo kwa Spika kuhusu Tundu Lissu

Hizo ndizo political strategics,ilamkumbuke Lissu ni mwanasheria ana tumia taaluma yake kumtega adui yake,usipokuwa makini umekwisha
 
Mwambie na si tunaomba mwongozo OKWI yuko wapi na mbona kilasiku vipigotu, ajiuzulu
 
Uongozi wa Simba usipomuondoa huyu mtu madarakani na kumfutia uanachama mara moja nahamia AZAM.siwezi kuwa abiria kwenye chombo chenye nahodha Juha.
 
Back
Top Bottom