Aden Rage aomba muongozo kwa Spika kuhusu Tundu Lissu

Mdakuzi

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
3,456
4,222
Mhe; Aden Rage ameomba mwongozo kwa Naibu Spika bungeni muda huu kwa ajili ya mhe Tundu Lissu kuwataja Wabunge wa CCM pekee wanaotuhumiwa kula rushwa, bila kuwataja Wabunge wa Chadema walio katika tuhuma hizo.
Naibu Spika bado hajatoa mwongozo.
 
yah,nadhani hii itakuwa chaachu ili wawataje wote maana wanafichaficha.tundu is clever,anajua njinsi gani ya kimfanya mtu aweze kuongea.roho zipo juu maana wanaogpa kuwataja sasa inawalazimu tu.
 
rageeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

07ragekam.jpg
 
Lissu kasema kile anachokijua yeye, kama Rage naye anauhakika na taarifa zake kuhusu wabunge wa vyama vingine basi aitishe press conference badala ya kulia lia kama mtoto mdogo.
 
Kweli lissu ni mjanja sana amewaweka kwenye mtego na lazima wajichanganye!
 
Back
Top Bottom