Adelline, dada aliyefukuzwa kazi baada ya kuugua kidole tumbo ameshinda kesi yake dhidi ya Mzungu aliyejifanya yuko juu ya sheria.
Adeline alinyimwa haki katika mahama ya wilaya, lakini alipokata rufaa akashinda na Mzungu ameamriwa kwenda jela miaka miwili, na kumlipa Adeline Sh. Million mbili.
Hukumu hii ya kihistoria inatuonyesha kwamba penye haki ukisimama kidete, pesa hushindwa.
Hivi sasa tumwombee Adeline ashinde kesi nyingine aliyoifungua kudai haki zake kwa kampuni ya huyo Mzungu ambayo inashughulika na uchimbaji madini.
Source: Mwanahalisi