Adelina aliyeshikwa chupi yake na Mzungu, Ashinda kesi ya udhalilishaji

Nyumbu-

JF-Expert Member
May 26, 2009
987
349
Adelline, dada aliyefukuzwa kazi baada ya kuugua kidole tumbo ameshinda kesi yake dhidi ya Mzungu aliyejifanya yuko juu ya sheria.

Adeline alinyimwa haki katika mahama ya wilaya, lakini alipokata rufaa akashinda na Mzungu ameamriwa kwenda jela miaka miwili, na kumlipa Adeline Sh. Million mbili.

Hukumu hii ya kihistoria inatuonyesha kwamba penye haki ukisimama kidete, pesa hushindwa.

Hivi sasa tumwombee Adeline ashinde kesi nyingine aliyoifungua kudai haki zake kwa kampuni ya huyo Mzungu ambayo inashughulika na uchimbaji madini.

Source: Mwanahalisi
 
sijaelewa hii kitu? adelina ndo nani na kesi ilikuwa wapi na mzungu alishikaje chupi ya adelina ?maana naona mara kafukuzwa kazi kwa kuugua kidole tumbo mara kashikwa chupi
 
Tangu mwanzo nilitarajia dada huyu ashinde kesi endapo haki ingetendeka.

Mlio mgodini msaidie dada huyu, atawasaidia nanyi kuanza kuheshimika na hawa jamaa kutambua kuwa hawako juu ya sheria.

Hongera Adelina!
 
nyumbu, hata kama ni ufupisho basi huu wako umepitiliza na hauleti maana.
Tafadhali toa maelezo yanayojitosheleza ueleweke. (adela, c***pi, mzungu).....
Au ndo unataka mpaka tununue mwanahalisi lenyewe?
 
Tangu mwanzo nilitarajia dada huyu ashinde kesi endapo haki ingetendeka.

Mlio mgodini msaidie dada huyu, atawasaidia nanyi kuanza kuheshimika na hawa jamaa kutambua kuwa hawako juu ya sheria.

Hongera Adelina!

Mkuu basi chukua jukumu la kutufafanulia kuhusu hii isue hasa mzungu kuishika hiyo nguo ndogo ya Adelina.
 
sijaelewa hii kitu? Adelina ndo nani na kesi ilikuwa wapi na mzungu alishikaje chupi ya adelina ?maana naona mara kafukuzwa kazi kwa kuugua kidole tumbo mara kashikwa chupi

ukiona trni imeshapita mbele yako usiifukuze subiri nyingine nyuma yake..anyway ni kahistoria yawezzekana ukuwepo huyu binti alipata kuumwa alipokuwa anadai haki yake kazungu kakaingiza kadole chake kwenye chupi sasa sijui mbele nyuma usiniulize ila jua alishikwa shupi..then after akaenda kulalamika akapigwa chini baada ya hakim kula mlungula walioona magazetini wakaamua kumsapoti na kukomaa na kesi ..kazi kwake na nyie wanyapara mshikeni **** huyo kama amemchezea dada enu uraiani ajue kuna walio zaidi yake
 
sijaelewa hii kitu? adelina ndo nani na kesi ilikuwa wapi na mzungu alishikaje chupi ya adelina ?maana naona mara kafukuzwa kazi kwa kuugua kidole tumbo mara kashikwa chupi

Safi sana,hata mimi nilikuwa najiuliza maswali kama ulivyouliza!!
 
Heshima kwako Nyumbu.

Mkuu habari yako nimeshindwa kuielewa sana sana watakaokuwa wamekuelewa labda wawe wamesoma mwanahalisi au wanaijua hiyo story nje ndani.Ebu anza tena Adelina kashinda kesi lini na wapi,alimshitaki nani,nini msingi wa mashitaka yake na nk labda nitakuelewa.
 
hii story kama naikumbukakumbuka.....huyu Adeline nadhani alikuwa anafanya kazi kama sio Geita ni Bulyanhulu, na kisa cha chupi kimetokana na mlinzi aina ya kaburu wa kiume kumsachi Adelina mpaka kwenye hiyo chupi kwa madai kuwa wafanyakazi weusi wanaotoka mgodini lazima wasachiwe ili wasiwe wameiba dhahabu....ambazo ni zao na ziko nchini mwao.......mwenye kujua zaidi aendelee
 
<LI class="postbitlegacy postbitim" id=post_thanks_box_1380032>The Following User Says Thank You to Kalamu Daftari For This Useful Post:

TUKUTUKU (Yesterday)​

EMBU HESHIMUNI HIZI SENKYUUUUUU JAMANI MWENZIO KAANDIKA SIJAELEWA UNAMPA SENKYUUUUUUUUU AKIANDIKA NAKUTAMANI SIJUI UTATOA SENKYUUUUUUUUUUU??????
ANAGALIEN WAPI PA KUTOA SENKYUU......
 
ukiona trni imeshapita mbele yako usiifukuze subiri nyingine nyuma yake..anyway ni kahistoria yawezzekana ukuwepo huyu binti alipata kuumwa alipokuwa anadai haki yake kazungu kakaingiza kadole chake kwenye chupi sasa sijui mbele nyuma usiniulize ila jua alishikwa shupi..then after akaenda kulalamika akapigwa chini baada ya hakim kula mlungula walioona magazetini wakaamua kumsapoti na kukomaa na kesi ..kazi kwake na nyie wanyapara mshikeni **** huyo kama amemchezea dada enu uraiani ajue kuna walio zaidi yake

hahaa mpwa umenikumbusha navokimiliaga treni pale central station amsterdam...likikuacha inabidi usubiri lingine ..hahaaaa
 
Back
Top Bottom