Addressing People: Kwanini baadhi ya watanzania wana tabia ya kupenda kuwafafanua binadamu wenzao kwa kutumia ulemavu/udhaifu wa maumbile walio nayo?

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi.

Ndugu zangu Watanzania eti;

Kwanini baadhi ya watanzania wana tabia mbaya ya kupenda kuwafafanua binadamu wenzao kwa kutumia ulemavu/udhaifu wa maumbile walio nayo?

Yaaani unakutana na mtu anaanza kukuelezea kuhusiana na rafiki yenu mliesoma naye zamani shule ya sekondari ila kwa kuwa humfahamu vizuri na anataka kukufanya umkumbuke kwa kuanza ktaja ulemavu aliokuwa nao jamaa.

Kwa mfano: Just imagine umeenda kariakoo unakutana na rafiki yako Edgar mliesoma naye kisha anaanza kukupa "breaking news" kuhusiana na mtu mmoja mmliyekuwa mnasoma naye shule moja ila kwa sasa ana mafanikio makubwa na anaitwa Alfred. unaweza kumsikia jamaa anasema hivi baada ya kusalimiana na kupiga stories kadhaa;

Edgar: "mzee baba ulisikia kwenye taarifa ya habari jule jamaa tuliyekuwa naye darasani alipewa shavu na CCM sasa hivi ni DAS wilaya moja hivi huko Mwanza"

Wewe: Jamaa gani huyo mkuu, mbona mimi kama simkumbuki.

Edgar: Humkumbuki wapi wewe, acha hizo. Yani wewe humjui yule Alfred tulikuwa tunasoma naye HGL, jamaa mmoja ana bichwa kubwaaaaa na masikio marefu alafu macho yake kama ana makengeza hivi akitembea mbele utafikiri anarudi nyuma.......

Come on guys. Acheni hizo bhana kwa maana Mungu hapendi. Ina maana hakuna namna bora ya kumtolea mtu ufafanuzi mpaka uanze kuelezea udhaifu/ulemavu wake?

Kwanini yeye aliomba kwa Mungu awe na maumbile yenye ulemavu wa namna hiyo ya bichwa kubwa au makengeza?

Some people really need to change seriously.
==========

==========
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA achievement YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Au unakuta watu wawili wanamjadili mtu ambaye humfamu: Aaa!! Yule jamaa mlevi sana, mchafumchafu, hatunzi familia, yaani yupoyupo tuu!! Ajabu Siku ya kukutana na huyo jamaa unabaki kushangaa! Tofauti kabisana na sifa zile ulizozisikia.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi.

Ndugu zangu Watanzania eti;

Kwanini baadhi ya watanzania wana tabia mbaya ya kupenda kuwafafanua binadamu wenzao kwa kutumia ulemavu/udhaifu wa maumbile walio nayo?

Yaaani unakutana na mtu anaanza kukuelezea kuhusiana na rafiki yenu mliesoma naye zamani shule ya sekondari ila kwa kuwa humfahamu vizuri na anataka kukufanya umkumbuke kwa kuanza ktaja ulemavu aliokuwa nao jamaa.

Kwa mfano: Just imagine umeenda kariakoo unakutana na rafiki yako Edgar mliesoma naye kisha anaanza kukupa "breaking news" kuhusiana na mtu mmoja mmliyekuwa mnasoma naye shule moja ila kwa sasa ana mafanikio makubwa na anaitwa Alfred. unaweza kumsikia jamaa anasema hivi baada ya kusalimiana na kupiga stories kadhaa;

Edgar: "mzee baba ulisikia kwenye taarifa ya habari jule jamaa tuliyekuwa naye darasani alipewa shavu na CCM sasa hivi ni DAS wilaya moja hivi huko Mwanza"

Wewe: Jamaa gani huyo mkuu, mbona mimi kama simkumbuki.

Edgar: Humkumbuki wapi wewe, acha hizo. Yani wewe humjui yule Alfred tulikuwa tunasoma naye HGL, jamaa mmoja ana bichwa kubwaaaaa na masikio marefu alafu macho yake kama ana makengeza hivi akitembea mbele utafikiri anarudi nyuma.......

Come on guys. Acheni hizo bhana kwa maana Mungu hapendi. Ina maana hakuna namna bora ya kumtolea mtu ufafanuzi mpaka uanze kuelezea udhaifu/ulemavu wake?

Kwanini yeye aliomba kwa Mungu awe na maumbile yenye ulemavu wa namna hiyo ya bichwa kubwa au makengeza?

Some people really need to change seriously.
==========

==========
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania tutakuchagua kwa kishindo 98%.
 
Back
Top Bottom