Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Muda huu kinachoendelea Addis Ababa ni hotuba kutoka kwa JPM katika mkutano wa umoja wa Mataifa Afrika(AU). Hongera kwa kupromote kiswahili barani Afrika.
Mwanajamii forum yapi maoni yako juu ya matumizi ya lugha ya kiswahili kwa Rais wetu kwenye mkutano AU???
Rais2020
Rais wa mioyo ya watu.
Mwanajamii forum yapi maoni yako juu ya matumizi ya lugha ya kiswahili kwa Rais wetu kwenye mkutano AU???
Rais2020
Rais wa mioyo ya watu.