Addiction

wengine karibia tutapewa talaka rejea maana ukiamka uko humu ukilala umo humu unasahau kama kuna mambo mengine yanaendelea huu ugonjwa kabisa
 
No human can live without MMU
And MMU takes 70% of any human being life
 
mkuu, you've to balance btw JF na life yako, family, work otherwise,
mambo yanaweza kuharibika you know wht i mean?
 
wengine karibia tutapewa talaka rejea maana ukiamka uko humu ukilala umo humu unasahau kama kuna mambo mengine yanaendelea huu ugonjwa kabisa

oooh, si unaona - ni hatari chauro, utakuja kauka ndani ya urojo - hahaha
 
Hivi inawazekana mtu kuwa semi-banned? kwamfano anakuwa banned kwenye MMU, but anaweza access siasa, technology, na majukwaa mengine...
 
Hahhaaaaaaaaa imesaidia kupunguza uvuvuzela mr saa kumi dot kashatinga home huoni positive impact yake hapo B_F :clap2:

TE=Blue_Face;1602204]oooh, si unaona - ni hatari chauro, utakuja kauka ndani ya urojo - hahaha[/QUOTE]
 
Hivi inawazekana mtu kuwa semi-banned? kwamfano anakuwa banned kwenye MMU, but anaweza access siasa, technology, na majukwaa mengine...
Aisee itabidi kumuuliza invisible
 
MMU ni noma kwa kweli mi niko kijiji huku lakini nimo 2 nachungulia chungulia kazi zikipungua. Huu ni ugonjwa kabisa
 
Guys...

This JF MMU is very addictive sasa... yani wherever i go these days, the first thing i do ni kuulizia kama kuna wanaJF nk.

You just cant stop thinking of MMU

I think we can create a very powerful tool to support each other kwenye mambo mengi sana through this forum

just cant get enough of this forum

Umetunyanyapaa sisi tusiojua kuzungu...yaani huwezi kuamini nimeambulia hayo ambayo nimeyawekea alama nyekundu.... Tafadhali rudia kwa kiswahili tukuelewe.
 
Back
Top Bottom