adapter

Nzuri ambayo sio hizi za kichina fully ambazo husababisha short ni sh 35,000 kwa dar but mikoani mpaka 70,000 maximum
 
Nzuri ambayo sio hizi za kichina fully ambazo husababisha short ni sh 35,000 kwa dar but mikoani mpaka 70,000 maximum
nipo dar ntapata sehemu gani? maana sijui za kichina na original zipoje
 
ninayo nzuri kabisa nipe 40 elfu nikuuzie mkuu. namba yangu hii hapa 0655 600 437.
 
Wapendwa nnakapc kangu aina ya dell e6400, inanigomea kuingiza charge ila nnaweza kutumia Kama desk top.
Naomba kufahamu tatizo, je Ni adaptor battery charging system au umeme ninaoutumia?
 
Back
Top Bottom