Adam Shafi's memoir blows fresh breath to Swahili literature

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
38,215
Points
2,000

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
38,215 2,000
Kwanini umekimbilia kwa huyo jamaa, inawezekana hata hajawahi kumuona uso kwa macho. Unafeli blaza, kuwapa watu kick kwa sababu ndogo, unajidhalilisha pia.
Simpi kick
nimemuita sababu na yeye sio fan wa Obama
so kama na yeye kasikia kitu substantial nimemuita aweze ku share...
sijasema anamjua wala kamuona...yeye ni Republican supporter...
hujajibu swala la evidence still
 
Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,713
Points
2,000

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,713 2,000

Teh teh, sipendi kumjadili kwa kuwa nia aina ya watu ambao wamejikabidhisha kwa mfumo, wamekuwa mavuvuzela na wateja wa kila kitu kinachotoka huko. Sisi wengine tunaamini mapambano bado yanaendelea, na ipo siku tutashinda.

Kuhusu ushahidi, kabla sijadondoka nondo zangu hapa... Wewe huna wasiwasi na yule mja?
 
Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,556
Points
1,225

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined Dec 7, 2007
4,556 1,225
Tabibu gani unakuwa sio mvumilivu, wenzio wanaotibu vichaa huwa inawalazimu kuwa kama wagonjwa wao wakati mwingine, permanently... And that is an ultimate sacrifice!

Nilikuwa sijafikiria kama huyu ndio wewe wa humu!
Too bad you can't see that i'm starting to show symptoms za Mphamvu syndrome.....I kid

Ndiye, nimekuwa nakucheki tu humu for a while......lol
 
The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
38,215
Points
2,000

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
38,215 2,000
Teh teh, sipendi kumjadili kwa kuwa nia aina ya watu ambao wamejikabidhisha kwa mfumo, wamekuwa mavuvuzela na wateja wa kila kitu kinachotoka huko. Sisi wengine tunaamini mapambano bado yanaendelea, na ipo siku tutashinda.

Kuhusu ushahidi, kabla sijadondoka nondo zangu hapa... Wewe huna wasiwasi na yule mja?
Rumors zipo lakini rumors sio fact
 
Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,713
Points
2,000

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,713 2,000
Rumors zipo lakini rumors sio fact
Sasa kwanini romours zisiwe kwa Fidel, au Putin, au hata rais wetu handsome... Kwanini yeye? Na yeye amekuwa Rais wa pekee kukomalia sana haki za mashoga na wasagaji kwenye mataifa masikini.

Na bado kuna hadithi za behind the scene za waliosoma nae chuo kitambo...
 
The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
38,215
Points
2,000

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
38,215 2,000
Sasa kwanini romours zisiwe kwa Fidel, au Putin, au hata rais wetu handsome... Kwanini yeye? Na yeye amekuwa Rais wa pekee kukomalia sana haki za mashoga na wasagaji kwenye mataifa masikini.

Na bado kuna hadithi za behind the scene za waliosoma nae chuo kitambo...

Waliosoma nae chuo kipi? una link nitazame?
rumors zipo za kila aina
Kwa Wamarekani watu waliotajwa rumors za kuwa gay ni wngi sana
Will Smith,Jay Z na wengi tu wengineo
kuhusu yeye kukomalia
unapaswa kujifunza kuhusu politics za Marekani
chama cha Obama traditionally ndio chama chenye gay supporters ambao ni karibu au zaidi
ya 10 percent ya wamarekani
hiyo idadi ni kubwa kwa anaeomba kura kama Obama....vitu vingine ni politics tu...
ndo maana nilimtag Nyani Ngabu sababu anajua American politics ilivyo hata kama ham support Obama
 
Last edited by a moderator:

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,713
Points
2,000

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,713 2,000
Waliosoma nae chuo kipi? una link nitazame?
rumors zipo za kila aina
Kwa Wamarekani watu waliotajwa rumors za kuwa gay ni wngi sana
Will Smith,Jay Z na wengi tu wengineo
kuhusu yeye kukomalia
unapaswa kujifunza kuhusu politics za Marekani
chama cha Obama traditionally ndio chama chenye gay supporters ambao ni karibu au zaidi
ya 10 percent ya wamarekani
hiyo idadi ni kubwa kwa anaeomba kura kama Obama....vitu vingine ni politics tu...
ndo maana nilimtag Nyani Ngabu sababu anajua American politics ilivyo hata kama ham support Obama
Anajua????

Chama chenye supporter mashoga kiko likely kutoa candidate shoga vile vile... Ukitaka link zipo nyingi tu mkuu, kuamini hizo stori inabidi kuanze na wewe kwanza, au vipi bwana?
 
Last edited by a moderator:

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
84,261
Points
2,000

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
84,261 2,000
Waliosoma nae chuo kipi? una link nitazame?
rumors zipo za kila aina
Kwa Wamarekani watu waliotajwa rumors za kuwa gay ni wngi sana
Will Smith,Jay Z na wengi tu wengineo
kuhusu yeye kukomalia
unapaswa kujifunza kuhusu politics za Marekani
chama cha Obama traditionally ndio chama chenye gay supporters ambao ni karibu au zaidi
ya 10 percent ya wamarekani
hiyo idadi ni kubwa kwa anaeomba kura kama Obama....vitu vingine ni politics tu...
ndo maana nilimtag Nyani Ngabu sababu anajua American politics ilivyo hata kama ham support Obama
Marekani celebrities wengi wakipata mafanikio lazima wazushiwe hizo tuhuma.

Na kuhusu Obama, come on....hizo ni siasa tu.

I don't think he's gay.

Hata Hillary Clinton keshazushiwa kwamba eti naye ni lesbian.

Hillary Clinton Lesbian

Sijali

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
2,117
Points
2,000

Sijali

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
2,117 2,000
Hii ni 2017, Adam Shafi yu hai? Napenda kukutana naye baada ya kusoma riwaya zake. Kuna mtu anayejua hili?
 
Massanda OMtima Massanda

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Messages
1,064
Points
2,000

Massanda OMtima Massanda

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2017
1,064 2,000
Kuli! Riwaya ambayo fasihi yake inaonesha uhalisia wa baadhi ya mambo ya msingi kama ifuatavyo:
1. Vijana wengi hukimbilia mijini kwa kufikiri maisha huko ni rahisi;
2. Ujana ni kipindi ambacho mtaji wa mtu huwa ni nguvu zake na hivyo kuamua hali ya uzeeni;
3. Maisha vijijini hayajawekewa mazingira ya kuvutia vijana kuwekeza nguvu zao katika uzalishaji.
Nawaomba muisome!
 
Forum statistics

Threads 1,382,203
Members 526,307
Posts 33,821,944
Top