M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
Amen kubwa!Wakuuu huko Uwanja Wa taifa wasaniii wamezichapa live bila chenga baada Ya mbasha kumwiiita mchovu kuwa anavuta bangi.
Hakika kuna kitu hapa walioandaa hilo tamasha watakuwa wamejifunza kuwa wanachokifanya kinamchukiza MUNGU, watu kupigana live wakiwa wanatazamwa kwenye TV zaidi ya tano ni Aibu kubwa na hiii ni ishara Fulani kuwa MUNGU hayupo upande wenu na huenda mkakutwa na majanga zaidi.