Adam malima kachukuliwa hatua gani baada ya kukutwa na smg?

Unarudia Hii Habari iliwekwa na Mwana Hoja Mmoja baada ya Baraza la Mawaziri kutangazwa

Sikulaumu pia Mimi nafanya Makosa kama hayo... Sisi ni Wanadamu !!!
 
Je mbona Jussa mwenyewe hajakamatwa wala kufunguliwa mashitaka ya ubaguzi na uchochezi?
 
Hilo mazezeta ya ccm hayajadili, wala hayahoji naibu waziri kuwa na SMG NA BASTOLA, nyumba ya kulala wageni, huku akiwa na fedha takribani millioni ishirini. Watu wamechapisha note genuine ambazo hazijawa registered benki kuu na wanajulikana, hawasemi chochote kwa vile ni ccm. Waziri wao kaiba na kukusanya fedha za serekali ili aje anunue urais 2015 ccm wamekaa kimya, huku HANS KITINE kawaambia! Wana CCM acheni unafiki MUNGU ATAWALAANI KWA VITENDO VYENU VIBAYA. Shame on you all.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kuhamishiwa wizara nyingine nayo ni hatua nzuri tu! si unajua kule aliko hakuna commission kama nishati na madini!

Kwa taarifa hakuna wizara yenye pesa isiyo na audit Kama kilimo.....maghembe katajirika pale.......,
alitoa vibali vya Sukari kwa makampuni ya Rafiki zake,....na alikuwa na makampuni Yake ya mfukoni pia...
makamu wa rais alipofika Kilimanjaro alishitakiwa juu ya Huyu jamaa na mkuu wa mkoa kuwa ndugu Yake alikuwa akivusha Mahindi kwenda Kenya wakati wafanyabiashara wengine wamezuiwa....
Sukari ya tpc ikivushwa pia kwenda Kenya na genge lake...likihusika...
Kashfa ya power tillers
Mbolea feki kuingia sokoni.....etc


kwa kifupi wanaodhani malima katupwa jangwani ...wanakoseaa .,mwaka ujao pekee wizara inatakiwa kununua matrekta ya kilimo kwanza 1'500...,mbolea ,pembejeo ,etc....
 
We kibogo uko dunia gani lakini??!!!, we hukuona juzi mwenzio alivokuwa "ANAADHIBIWA PALE IKULU KWA KUAPISHWA TENA KUWA NAIBU WAZIRI WA VITU GANI SIJUI"!!!!, THAT WAS HIS PUNISHMENT.....ONLY IN TANZANIA :eek2:
 
Ndugu wa JF ningependa kupata taarifa kama kuna hatua yeyote aliyochukuliwa Bw. Adam Malima kwani nikinukuu kupitia kipindi cha Tuongee Asubuhi kilichorushwa na STAR TV mwezi uliopita SMG hairuhusiwi kumilikiwa na raia na hairuhusiwi kuuzwa katika maduka ya Siraha mtu anayeruhusiwa kumiliki uraiani na Kanal wa jeshi mstaafu tu.

Ningependa kupata taarifa kutoka jeshi la police kwa wanaojua sheria hizo kwa ufafanuzi kama sio vinginevyo jeshi la police litakuwa halijatenda haki kwa watanzania kwa kumuachia Mtuumiwa bwana Adam Malima kwa kumiliki Siraha kinyume cha sheria za Jamhuri ya muungano wa Tanzania.


Nawasilisha!

Kwanza rekebisha lugha yako ndugu yangu,

Pili mbona mnapenda kukuza mambo? wewe una uhakika alikuwa na hiyo SMG? nchi hii udaku mwingi sana, story yote ya Adam Malima ni ya kutungwa na ni utungo ULIOTUKUKA! magazeti yote yamegeuka kuwa ya udaku siku hizi duh!
 
Hatua aliyochukuliwa ni kupelekwa kuwa naibu waziri wa kilimo chakula na ushirika ambako amenza kazi kwa mbwembwe kubwa...
 
Ndugu yangu mwanaJFUmeleta jambo la muhimu kwenye jukwaa hili.Tuwaombe kwa moyo wa dhati wanaJF tulipigie kelele hili jambo maana hatujajua kama polisi wamemaliza upelelezi wao, maana RPC Morogoro amehamishwa kwa mujibu wa taarifa ya magazeti ya jana.Naomba tusaidiane sana kwa hili jamani huyu jamaa hatujui kama alikuwa anafadhili makundi ya uhalifu au ameinunua kwenye makundi ya uhalifu au kapewa kutoka wapi.
Wanasema ni upepo tu na umepita
 
Waziri mstaafu Mansoor wa Zanzibar anashikiliwa na polisi kwa kukutwa na bastola tu.

Hivi hz sheria zinaangalia mtu na mtu
 
Back
Top Bottom