Adam malima kachukuliwa hatua gani baada ya kukutwa na smg?

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,732
Ndugu wa JF ningependa kupata taarifa kama kuna hatua yeyote aliyochukuliwa Bw. Adam Malima kwani nikinukuu kupitia kipindi cha Tuongee Asubuhi kilichorushwa na STAR TV mwezi uliopita SMG hairuhusiwi kumilikiwa na raia na hairuhusiwi kuuzwa katika maduka ya Siraha mtu anayeruhusiwa kumiliki uraiani na Kanal wa jeshi mstaafu tu.

Ningependa kupata taarifa kutoka jeshi la police kwa wanaojua sheria hizo kwa ufafanuzi kama sio vinginevyo jeshi la police litakuwa halijatenda haki kwa watanzania kwa kumuachia Mtuumiwa bwana Adam Malima kwa kumiliki Siraha kinyume cha sheria za Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Nawasilisha!
 
Basi Star TV inabidi wamuombe radhi mheshimiwa Malima kama waliripoti hivyo.

Alichokutwa nacho ni shot Gun ambayo hutumika mara nyingi kwenye kuwindia,hata babu yangu anayo kule bushi.

Sio kila mkiona bunduki kubwa kubwa mnafikiri SMG!
 
NakUMBUKA HATA IGP alizumngumza kuwa Polisi wanachunguza kwa sababu hakuna raia anayeruhusiwa kuwa na silaha ya vita. Kama kwaida huwa tunasahaulishwa mambo yote ya kijinai yanayo husu vigogo
 
Ndugu yangu mwanaJF
Umeleta jambo la muhimu kwenye jukwaa hili.
Tuwaombe kwa moyo wa dhati wanaJF tulipigie kelele hili jambo maana hatujajua kama polisi wamemaliza upelelezi wao, maana RPC Morogoro amehamishwa kwa mujibu wa taarifa ya magazeti ya jana.
Naomba tusaidiane sana kwa hili jamani huyu jamaa hatujui kama alikuwa anafadhili makundi ya uhalifu au ameinunua kwenye makundi ya uhalifu au kapewa kutoka wapi.

ilikuwa ni SMG ndugu, hata kaimu kamanda wa polisi moro siku ile aliripoti kwa waandishi wa habari kuwa ni SMG, ila Polisisiem walikuja wakarekebisha eti ilikuwa Rifle kumlinda jamaa, ukweli waweza kuwa jamaa alikuwa anashirikiana na makundi si mazuri na pesa nyingi cash aliyokuwa nayo inawezekana ni mgao aliokuwa kaletewa na watumia chuma, nchi hii sio ya haki,kuanzia mahakama, polisi, takukuru vyote, ila mwisho wake upo tu
 
Ukiwa kwenye chama chenye dola hakuna noma hata unaweza kumiliki kifaru cha jeshi ,,,, si mnakumbuka kesi ya vijisenti mauaji ya watz wawili akiwa na invalid insuarance,, ,,, ,,,, brother dito mzuzuri,,,, tuache tusikumbushane jameni
 
Huyu jamaa anamengi! Anaissue ya kwenda southafrica kwa jina feki. Kwa nn alifake?? Sijui iliishia wapi aisee!!
 
Kama sikosei ilikua ni upepo tuu wa kijinai unapita. Kasafiri nje kwa pasi feki, kakutwa na Sub Machine Gun (SMG). Sifa za Bunduki hii ni: Nyepesi kubeba, malingo yake ni mazuri ( accuracy in targeting), inatumia risasi 30 kwa magazine moja, inaweza fyatua risasi moja moja, au kwa haraka sana kulingana na umeiset vipi. unaweza funga singe kwa mashambulizi ya karibu, imetengenezwa na Mchina, yaweza piga hadi mita 2650 (effective targeting). Kuna kitu kisichochakawaida nyuma ya sakata hili.
 
Kuhamishiwa wizara nyingine nayo ni hatua nzuri tu! si unajua kule aliko hakuna commission kama nishati na madini!
 
Ndugu yangu mwanaJF
Umeleta jambo la muhimu kwenye jukwaa hili.
Tuwaombe kwa moyo wa dhati wanaJF tulipigie kelele hili jambo maana hatujajua kama polisi wamemaliza upelelezi wao, maana RPC Morogoro amehamishwa kwa mujibu wa taarifa ya magazeti ya jana.
Naomba tusaidiane sana kwa hili jamani huyu jamaa hatujui kama alikuwa anafadhili makundi ya uhalifu au ameinunua kwenye makundi ya uhalifu au kapewa kutoka wapi.

Heshima kwako Mkuu, nakuombapunguza usahaurifu! Adam Malima tayari alisha safishwa na jeshi la police kupitia aliyekaimu uRPC Morogoro, kwa maelezo yaliyompinga hata Adam mwenyewe ambaye hapo awali akiongea na wandishi wa habari alikili kuimiliki SMG. Ajabu kaimu RPC alionyeshwa kwenye Luninga akisema SMG si smg. Alimalizia kwa kupakazia kuwa waliomwibia Adamu wamekamatwa! Ingawa binafsi mpaka sasa ni Tomaso wa kukamtwa kwa wale vijana na yule mamamdogo.
 
Ndugu wa JF ningependa kupata taarifa kama kuna hatua yeyote aliyochukuliwa Bw. Adam Malima kwani nikinukuu kupitia kipindi cha Tuongee Asubuhi kilichorushwa na STAR TV mwezi uliopita SMG hairuhusiwi kumilikiwa na raia na hairuhusiwi kuuzwa katika maduka ya Siraha mtu anayeruhusiwa kumiliki uraiani na Kanal wa jeshi mstaafu tu.

Ningependa kupata taarifa kutoka jeshi la police kwa wanaojua sheria hizo kwa ufafanuzi kama sio vinginevyo jeshi la police litakuwa halijatenda haki kwa watanzania kwa kumuachia Mtuumiwa bwana Adam Malima kwa kumiliki Siraha kinyume cha sheria za Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Nawasilisha!

Hawa wazaramo hatari hawajui matumizi ya bunduki si ndo yule mzaramo mwingine alimpiga risasi dereva wa daladala
 
Basi Star TV inabidi wamuombe radhi mheshimiwa Malima kama waliripoti hivyo.

Alichokutwa nacho ni shot Gun ambayo hutumika mara nyingi kwenye kuwindia,hata babu yangu anayo kule bushi.

Sio kila mkiona bunduki kubwa kubwa mnafikiri SMG!

sawa hata kama ni ya kuwindia...Waziri wa nchi kutembea na silaha kama hiyo ni nini hasa alichonacho ambacho alikua anakilinda? na mawaziri si wana bodyguards anyway ama? Baba yetu Mtukufu Julius Nyerere alisema ukiona mtu analindwa na magari matano, mapolisi na silaha nyingi mjue huyo ni mwizi..kwani anachojilindia au kuogopa ni nini?? kama wewe ni safi hujagombana na mtu na hujamuibia mtu huitaji kutembea na silaha na magari mengi....Baba yetu wa taifa akiamka leo hii aone jinsi kile chama chake na mawaziri aliowaacha wanavyoitafuna hii aliyofight ipate uhuru hataamini. :eek:hwell:
 
NakUMBUKA HATA IGP alizumngumza kuwa Polisi wanachunguza kwa sababu hakuna raia anayeruhusiwa kuwa na silaha ya vita. Kama kwaida huwa tunasahaulishwa mambo yote ya kijinai yanayo husu vigogo

Kwani Adam Malima ni Raia au Waziri?
 
Kama serikali jizi polisi ataacha kuwa jizi na atamtetea jizi jenzake ili wafanikishe kwiba.

Mtu unatembea na SMG silaha ya kivita halafu polisi wanasema hakuwa na silaha kubwa kama hiyo mwingine anasema ni hatari mtu kutembea na silaha ya kubwa kama hiyo. Kweli??

Hakuna hatua yoyote aliyochukuliwa ila mimi nataka tujiulize Malima alikuwa anaenda wapi kufanya nini na SMG? Anzisha uzi huu
 
SMG itamfaa zaidi Wizara mpya aliyohamishiwa. Hiyo ndiyo hatua aliyochukuliwa. Hatua nyingine atakayochukuliwa ni kupewa uwaziri ili maamuzi yake ya kulinda maharamia na majangili isitawi.
 
Nataka tu kufahamu kama huyu jamaa alishitakiwa kwa kumiliki SMG maake kwa upande wa sie wananchi wa kawaida kama wanavyotuita hawa wakina Magamba miongoni mwao akiwa huyu Adam Malima ni kwamba tutashikiliwa na ulinzi mkali kama gari 8 zilizojaa Police na Magari ya maji ya kuwasha kwa msafara wa kupelekwa Mahakamani ukiuliza utaambiwa ni ulinzi wa kawaida kwa kuwa jamaa huyu ni hatari sana kwa kukutwa na SMG ambayo hata sie PoliceCCm haturuhusiwi kuwa nayo kwa sehemu kama vile uraiani, sasa je huyu jamaa ambaye hata sio mwanajeshi na hata kama angekuwa mwanajeshi asingeruhusiwa kuwa na SMG nyumbani kwake au hata akiwa kwenye ziara za kikazi.
So napenda kufahamu ile kesi ishafika kwa DDP kama wale PoliceCCm wa Arusha walivyofanya kwa kamanda Nassari Joshua ati katoa vitisho ambavyo ni kinyume na sheria za nchi,Lingine nataka kufahamu tofauti ya makosa haya Kuwa na SMG tena kwa Hotel na Kuongea maneno kama kujitenga live na sio kwenye kificho tena kwa jukwaa la kisiasa??
Ahsanteni ni mie tena
 
Back
Top Bottom