Aiseeee na atakufa mdomo wazi .....zakeLile zee kumbe la hovyo sana, sura mbaya kama mqound. Roho mbaya haijengi
Sent using Jamii Forums mobile app
HaahHa. Kama vile wanacheki sinema zilizotafsiriwa Kwa kiswahili
Hahahaa.......hapo ndio huwa namkubali Dr Mengi kule Moshi shule kama hiyo angeshaibadili kuwa ya ghorofa na vyoo vya kisasa!
TAARIFA
Baada ya kusambaa picha zimionyesha vyoo chakavu na madarasa yenye msongamano wa wanafunzi kamanda wetu Farance The Digitall alipata vitisho kutoka kwa Mbunge wa Kongwa Job Ndugai ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania kuwa "anachokitafuta atakipata hivi karibuni kwasababu amekuwa akimwaandama kuanzia asubuhi hadi jioni".
Baadae mji wa Kibaigwa zilisambaa taarifa za France The Digital kutafutwa hivyo alihama nyumbani kwa sababu za usalama wake,akiwa mafichoni alipata taarifa za nyumba yake kuvamiwa na askari polisi wa Kongwa wakimtafuta bila mafanikio.....baadae walipigia simu ya wito wa kuripoti kituo cha polisi Kongwa jambo ambalo amelitekeleza leo J4.
Baada ya maohojiano kituo cha polisi kongwa wamemweleza kamanda France The Digital kuwa kosa lake ni kumkashifu Mh Job Ndugai hivyo wanamwamishia Mkoani Dodoma kwa RCO kwaajili ya mahojiano zaidi na wamemwambia hakuna dhamana.
Hivyo makamanda tuendelee kupaza sauti dhidi ya kamanda mwenzetu huyu wa Kibaigwa ili haki iweze kutendeka.
View attachment 1049128View attachment 1049129View attachment 1049130
Sent using Jamii Forums mobile app