Adai Mbegu za Kiume Kwenye Swimming Pool Zimesababisha Apate Mimba

Ni kweli kitu hicho kinawezekana kabisa, mbegu za kiume zina nguvu ya ajabu sana zina uwezo wa kuishi siku mbili mpaka tatu zikishatoka kwa mwanaume, na mwanamke sio lazima kufanya tendo la ndoa ndio mimba itunge, siku zikiwa ni za kupata minda mbegu za kiume zikigusa na kufanikiwa kupata njia ya kufika kwanye uke anapata mimba, imeshatokea mwanamke alijifutia taulo liliokuwa na mbegu akapata mimba, na kuna binti hapa bongo alipata tena ilikuwa nyumbani kwao kwenye choo cha kukaa kumbe wavulanda ndani ya nyumba walikuwa wanajichua wakienda kujisaidia siku ya siku wakabakisha mbegu juu mdada alipokwenda kujisaidia akazibeba ikawa mtafaluku ndani ya nyumba wakati binti alikuwa bikira. kwahiyo amini inawezekana
mhn! hii kali inamaana turekebishe ramani za nyumba zetu ziwe kama bar! kuwe na choo cha kike na kiume?
 
mhn! hii kali inamaana turekebishe ramani za nyumba zetu ziwe kama bar! kuwe na choo cha kike na kiume?

NOMA SANA.... Ila wanasema mwanamke hasingiziwi mimba.... Au inawezekana ni treak ya mama kuongezeka kipato chake so inawezekana ikawa ni cooked scandal????
 
We need other theories to prove this.
Kwa sasa naweza kudhibitisha bila shaka kuwa haiwekani kwa maelezo ya sayansi.
1.one ijaculation contains millions of sperm
2.je hiyo cell(sperm )ilikuwa peke yake?
3.seminal fluid ya kufanya mbegu iogelee kwenye uke imetoka wapi?
4.inawezekanaje mbegu kuogelea kuanzia majini,mpaka kuingia ndani ya vagina huku utelezi haupo?Ama inawezekana ule mkia ukapiga mbizi hata kwenye sehemu kavu?Mana inaelezwa cell inapiga mbizi,sasa inapigaje mbizi kama fluid ya kusaidia kupiga mbizi haipo?Kuna wanaume wengine hawana uwezo wa kuzalisha kama ijaculation yao haifiki sehemu ambapo sperm inaweza kuogelea bila tabu,kuna wanaume hawawezi kutia mimba kwa sababu ejaculation zao hazina seminal fluid ya kutosha,dah leo mbegu ndani ya maji kati mazingira yasiyofaa hata kwa uhai wake isababishe mimba.
 
Friday, July 10, 2009 6:23 AM Mwanamke mmoja raia wa Poland ameifungulia mashtaka hoteli moja ya nchini Misri kwa kusababisha binti yake mwenye umri wa miaka 13 kupata ujauzito kutokana na mbegu za kiume alizokumbana nazo wakati akiogelea kwenye bwawa la kuogelea la hoteli hiyo. Mama wa binti huyo aliyejulikana kwa jina la Magdalena Kwiatkowska alirudi Poland na binti yake huyo mwenye umri wa miaka 13 kutoka vakesheni nchini Misri binti yake huyo akiwa tayari ameishapata ujauzito. Magdalena alidai kuwa binti yake alipata ujauzito baada ya kujitosa kuogelea kwenye bwawa la kuogolea la hoteli hiyo ambalo wanawake na wanaume walikuwa wakichanganyika. Magdalena alisisitiza kuwa binti yake alipata ujauzito baada ya kukumbana na mbegu za kiume wakati akiogelea kwenye bwawa la kuogelea la hoteli hiyo. Magdalena ameifungulia kesi hoteli hiyo akidai alipwe fidia. Chanzo kimoja cha habari kilisema kuwa mama huyo anasisitiza kuwa ana uhakika wa asilimia mia moja kuwa binti yake hakufanya mapenzi na mvulana yoyote wakati alipokuwa hotelini hapo. "Magdalena amedhamiria kuendelea na kesi yake ya kudai fidia" kilisema chanzo hicho. Mamlaka ya utalii ya Poland jijini Warsaw ilithibitisha kwamba imepokea taarifa ya kesi hiyo ambayo haijawahi kutokea duniani. Adai Mbegu za Kiume Kwenye Swimming Pool Zimesababisha Apate Mimba

Yes, a virgin's body is not hermetically sealed. Anything can go out or in. But sperm cells are microscopic, so without penetration, the virgin's body might be impossible. Sperms have neither eyes nor ears, how would they find a virgin girl at such a distance? How would they even know in what direction they were swimming to? After all, sperms cannot survive in water, and even if they could, they wouldn't be able to swim fast enough to impregnate someone from a distance.

Since it's already hard enough for them to make it to the egg when they are ejaculated inside the va*ina, they would all die before getting there if they had to travel from outside the va*ina. So I term the mother"s claim as a baseless one!
 
Mhhhh! :A S-confused1:....basi wangepata mimba wengi sana kwenye swimming pools mbali mbali duniani.
 
yote kwa yote hapo bado kuna utata kama ni kwa njia swimming pool au ndo wajanja wameifanyia kaz mali,kama mzazi anadai imetokana na swimming pool bas hilo swimming lifanye kaz ya kulea hiyo mimba...
 
Kama demu ni bikra hizo mbegu zilipenyaje kuingia papuchini??!! Mambo mengine bana...
 
Back
Top Bottom