Adai Kuiona Sura ya Yesu Kwenye Pasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adai Kuiona Sura ya Yesu Kwenye Pasi

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Dec 6, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  <table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">Adai Kuiona Sura ya Yesu Kwenye Pasi</td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
  [​IMG]
  Sura ya Yesu inayodaiwa kuonekana kwenye pasi ya umeme</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Sunday, November 29, 2009 2:07 PM
  Mwanamke mmoja wa nchini Marekani ambaye aliachwa na mumewe hivi karibuni amedai kuiona sura ya Yesu kwenye pasi ya umeme.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Mary Jo Coady mkazi wa Massachusetts nchini Marekani, ambaye ndoa yake na mumewe ilivunjika hivi karibuni na kufuatiwa na mkosi wa kupunguziwa masaa ya kufanya kazi kazini kwake, ametangaza kuiona sura ya Yesu kwenye pasi ya umeme na amedai ana uhakika maisha yake yatakuwa mazuri baada ya kuiona sura ya Yesu.

  Mary alidai kuigundua picha ya Yesu kwa mara ya kwanza siku ya jumapili iliyopita wakati alipoingia kwenye chumba cha mtoto wake.

  Uchafu uliotokana na kuungua kwa nguo kwenye pasi ulionekana kama sura ya mtu mwenye nywele ndefu.

  Mary mwenye umri wa miaka 44 pamoja na watoto wake wawili, walikubaliana kuwa sura inayoonekana kwenye pasi ni ya Yesu na kwamba Yesu anawasikiliza.

  Mary ambaye alilewa katika mazingira ya kikatoliki aliliambia gazeti la The Eagle-Tribune kuwa mkasa wake wa kuiona sura ya Yesu utakuwa changamato kwa watu wengine wakati huu krismasi ikikaribia.

  Mary alisema kuwa ana mpango wa kuificha pasi hiyo kwenye kabati na atanunua pasi nyingine.

  Adai Kuiona Sura ya Yesu Kwenye Pasi

  [​IMG]

  Mary Jo Coady mkazi wa Massachusetts nchini Marekani, ambaye ndoa yake na mumewe ilivunjika hivi karibuni na kufuatiwa na mkosi wa kupunguziwa masaa ya kufanya kazi kazini kwake, ametangaza kuiona sura ya Yesu kwenye pasi ya umeme na amedai ana uhakika maisha yake yatakuwa mazuri baada ya kuiona sura ya Yesu. GONGA World News Pembeni Kushoto kusoma habari kamili.

  </td></tr></tbody></table>
   
Loading...