Adai fidia ya Sh700,000 kwa kunyimwa unyumba

Si anadai kuwa na mtoto? na aliwahi kuwa na mke kabla, hao watasaidia katika ushahidi, aidha huko kwa dokta labda ataambiwa apige ngunga...

Kuwa na mtoto hakuna uhusiano na nguvu za kiume. Infertility na Impotence ni matatizo mawili tofauti.

Kipo kipimo cha kupima nguvu za kiume, hata mimi ukinipa gloves na mafuta ya kupikia nakupima fasta
 
unajua ishu sio kupiga maneno lkn hili tatizo la kukosa nguvu za kiume ni tatizo kubwa sana hapa nchini, inatokana na lifestyle zetu. sasa wake zetu hata na hata nyumba ndogo wanapenda dume halisi lenye mashine kama ya tembo na pumzi kama ya mbwa yaani wakati wa kazi ni kazi kweli hadi ile kitu itoe moshi......lakini kama unagusagusa haya ndo yanatokea..au mara nyingine wanawake wanatafuta mbadala.
 
Back
Top Bottom