Uchaguzi 2020 Adadi Rajabu na Andrew Chenge, wasomi wabobezi waliokatwa na kuinamisha vichwa. Usomi ni ukondoo?

Mekoo alimpania adad baada ya tund kumiminiwa mvua za moto area d kamati ya usalama ya bung ikiongozwa na bwana huyu iliandikwa ripoti ya kichunguz yenye weledi na recommendations za kisomi zenye uhalisia wa tukio iliyowaacha wazi wausika , wenyewe hawakufurahi tokea hapo ndo visasiiiiii same to dr. mpoc pigwa chini kistaili
 
Ila wapinzani wana unafki jamani. Kweli siamini kama mmekua watu wa kutetea Chenge
 
Mekoo alimpania adad baada ya tund kumiminiwa mvua za moto area d kamati ya usalama ya bung ikiongozwa na bwana huyu iliandikwa ripoti ya kichunguz yenye weledi na recommendations za kisomi zenye uhalisia wa tukio iliyowaacha wazi wausika , wenyewe hawakufurahi tokea hapo ndo visasiiiiii same to dr. mpoc pigwa chini kistaili
Naomba iweke hiyo report hapa tuipitie
 
CCM ilikuwa zamani , sasa hivi chama kinaongozwa na matashi ya mtu mmoja tu mhutu unafikiri Kuna chama Tena Kuna Bashiru Kabudi Chakubanga Polepole wanapelekeshwa mwendo wa kihutu kushoto geuka , kulia geuka , nyuma geuka hakuna kuhoji .
Screenshot_20201010-020503.png
 
Choices zilikuwa hizi

1. Kuinamisha vichwa
2. Kuhamia Upinzani

Hawakuwa na choice nyingine. Wameamua kuchagua #1. Probably ni uamuzi sahihi sana maana wote mafaili yao ni machafu mno na chairman wa CCM ni mwepesi kuritaliate!
 
Halafu wewe😎😎😎 umenikumbusha siku ile chenge alivyomnadi mbunge mtarajiwa pale bariadi😁😁😁 Huu uchaguzi upite tujenge nchi tuu

John Pombe Joseph Magufuli ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Agneta ushawahi kusikia ni mwanasheria mkuu wa serikali ama mkuu wa upelelezi Tanzania nzima? Chenge na Adadi nawashangaa Sana. Wanamuogopa huyu mwenye PhD ya kupewa na akina Dr. Akwilapo?
Tena wanamafaili yake yote masafi na machafu.

Wameshindwa hata kum blackmail tu waende sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom