Adadi Rajabu na Andrew Chenge ni watu wasomi wa kupigiwa mfano na walishika nafasi nyeti sana nchi hii. Kiu yao ya kuendelea kuitumikia nchi hii imekatizwa na kikundi kidogo tu cha watu tena na darasa la saba au wenye vyeti vya kuungaunga. Inauma sana.
Hivi kweli hawa wenye vyeti vinavyotiliwa mashaka wanafika mahali wanawanyanyasa wasomi wenye vyeti vya kupigiwa mfano? Kama taifa tunadhani hili ni sawa?
Kama wasomi hawa wamekatwa na kuufyata nani basi atakuja kuupinga uonevu huu? Kwanini wasomi katika taifa hili wanakuwa na ukondoo badala ya kutumia elimu yao kuinua vichwa na kudai haki?