mkuu maeneo ya huku Russia ada za masters zinatofautiana kulingana na kozi unayotaka kusoma,wewe kozi gani ulitaka kusoma ili nikupe gharama halisi?Wadau naomba kuulizia ada ya kusoma masters degree katika vyuo vya ukraine na russia
nataka kusoma masters of business administration