Ada ya kutuma Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda Equity bank ni Tsh 5,000. Tunaenda mbele au tunarudi nyuma?

Magnificient

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
1,161
2,000
Leo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala.

Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya faida ya teknolojia ni kupunguza gharama. Sasa kwa gharama hii mbona ni bora nitafute branch au wakala tu nikadeposit for free?
 
Gidbang

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
4,153
2,000
Leo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala.

Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya faida ya teknolojia ni kupunguza gharama. Sasa kwa gharama hii mbona ni bora nitafute branch au hii ndo faida ya kuwa na viongozi mazuzu w
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,003
2,000
Leo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala.

Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya faida ya teknolojia ni kupunguza gharama. Sasa kwa gharama hii mbona ni bora nitafute branch au wakala tu nikadeposit for free?
Hapo kuna Equity, Tigo pesa na Serikali.

Kwanini makato yasiwe makubwa.
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,001
2,000
Leo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala.

Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya faida ya teknolojia ni kupunguza gharama. Sasa kwa gharama hii mbona ni bora nitafute branch au wakala tu nikadeposit for free?
Mambo ya mobile banking nilishaachanaga nayo kitambo
 
KAYAMASKINI

Member
Oct 29, 2016
50
95
Habari, ! Kamishna wa Kazi na mh waziri wa kazi kuna kila sababu sasa ya kutilia mwenendo wa malipo wanafanya tigo hapa nchin
 
KAYAMASKINI

Member
Oct 29, 2016
50
95
Tigo kitendo cha kuwa mnawafanyisha kazi zenu Hawa mnawaita teamleder wanasimamia mauzo yenu Galaxy mnawalipa T-sh 2500 hakubaliki Kabisa hapa Tanzania wizara ya kazi wasidieni Hawa vijana wanaweza jinyonga tigo wanacheza na maisha ya watu huwezi mfanyisha kazi mtu mzima na anafamilia

Unakuja kumlipa hela vocha ikumbukwe mfanyakazi huyo anafamilia anaendeshaje maisha yake tigo Tanzania msilete utani kwenye nguvu za watu

View attachment 1772565
IMG-20210503-WA0013.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom