Ada kwa vyuo vya ufundi kwa goverment sponsor

Sucre255

Member
Jul 29, 2016
25
31
Leo nacte wametoa tangazo la ku confirm kwa wanafunzi waliochaguliwa vyuo. Sasa nmeona ada wameandika 900000 kwa chuo cha M.U.S.T na 850000 kwa chuo cha ARUSHA TECHNICAL COLLEGE wakati hao waliochaguliwa ni government sponser sio private ... Sijaelewa hapo. Government sponsor kwa kawaida wanalipa kwenye laki tatu hivi ukichanganya na michango mengine. Naomba kueleweshwa hapo
 
Izo ni private spornsored..kama ni government spornsored njoo chuo ada ni 325,400 kma huna bima..
Leo nacte wametoa tangazo la ku confirm kwa wanafunzi waliochaguliwa vyuo. Sasa nmeona ada wameandika 900000 kwa chuo cha M.U.S.T na 850000 kwa chuo cha ARUSHA TECHNICAL COLLEGE wakati hao waliochaguliwa ni government sponser sio private ... Sijaelewa hapo. Government sponsor kwa kawaida wanalipa kwenye laki tatu hivi ukichanganya na michango mengine. Naomba kueleweshwa hapo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom