Ada kupanda UDSM imekaaJe kwa watoto wa Makabwela?

NIMIMI

Senior Member
Apr 2, 2011
170
16
Wakuu nilikuwa nasoma maelekezo yaliyotolewa kuhusu Ujio wa Intake mpya, mojawapo kilichonishangaza ni kuona viwango vipya vya Ada, wakati naomba kusoma UDBS ilikuwa tsh 1,300,000/= kwa mwaka, ila leo ni tsh 1,500,000/= ukijumlisha na gharama zingine zinafika Mil. Mbili kasoro kidogo. Ni pamoja na kozi zingine viwango ni tofauti tofauti. Je huu ni Uungwana kwa Elimu ya Mtanzania tena mlala njaa na mtembea peku (bila viatu)?

Alafu NO LOAN! mwaka huu cjui, kwanza waliokosa mkopo n km wanafunz si chini ya 5000, bod wanasema 1995.

mbona kitambo mkuu,niliona chapisho moja la mwaka 2008/2009 ada ni hiyo 1.5m

Karudie Kusoma tena mwana.. 1.5 Ni kwa Accounting peke na imekua hvo miaka yote, Bcom nyngne zote ni 1.3...

Kaka mwenyewe nalikuwa najua 1.3mil nikaambiwa na rafiki yangu nikambishia, baada ya kufungua mtandao nimekuta tangazo la kufika na usajili chuoni ni 1st & 2nd Oct. Na maelekezo yakuwataka wanaf. Walete 1.5 ada na michango mingine jumla 1.97.....mil kwa mwaka, hii ni mpya mkuu soma vizuri. Ni mchango na hakuna mkopo?

Sijajua kipi kinakushangaza hapo?.
Ulifikiri ada itabaki static, haitobadilika?
Nina wasiwasi na uelewa wako kwakweli.

Hongera kwa kuwa na Wasiwasi na Uelewa wangu, Ruksa hata Kutouamini Uelewa wangu. Kwani Masikani yako ni Mbinguni hivyo ya Duniani niachie mwenye masikani Dunian mwenye uelewa mdogo, na wengine wanaonielewa yaani wenye uelewa mdogo kama wangu. Wasalimu huko Mbinguni mwana wa !bWe.

Kaka mwenyewe nalikuwa najua 1.3mil nikaambiwa na rafiki yangu nikambishia, baada ya kufungua mtandao nimekuta tangazo la kufika na usajili chuoni ni 1st & 2nd Oct. Na maelekezo yakuwataka wanaf. Walete 1.5 ada na michango mingine jumla 1.97.....mil kwa mwaka, hii ni mpya mkuu soma vizuri. Ni mchango na hakuna mkopo?

Hivi una uhakika na unachoongea kwel!! na Je' hilo Tangazo ni umelielewa vzuri kweli wewe? Ni vzuri ukaulza kwanza kuliko kumek Conclusion mwenyew!!
UDSM Sio IFM Hamna michango ya kufkia 1.9.. Tuition ni 1.3 Kwa B.Com wote except Accounting major na 1.5 kwa B.Com Accounting na hyo sio Lazma ulpe yote ni inalpwa kwa semester.. Michango Mingne ni inaitwa Direct University Cost ambayo ni 74,900/= ukijumlsha hapo ni itafka 1.97 kweli kaka!! Ipitie vzuri document iliyoandkwa Pre-Orientation Information au km unataka kusaidiwa zaid uliza hapa.. Na kuhusu usajili ni kwamba sio 1st & 2nd Oct tuu, ni utaweza kufanya siku yoyote within 2 weeks toka 1st Octber..
Mwaka Huu kweli Kazi Ipo..

sababu ya mgomo nje nje. mwezi haupiti chuo kitakuwa kishafungwa kwa mgomo my take

hiyo ni bcome kumbe. pantamu kama na engineering wangekuwa hawana 100% wangegoma wiki ya kwanza

Hivi una uhakika na unachoongea kwel!! na Je' hilo Tangazo ni umelielewa vzuri kweli wewe? Ni vzuri ukaulza kwanza kuliko kumek Conclusion mwenyew!!

UDSM Sio IFM Hamna michango ya kufkia 1.9.. Tuition ni 1.3 Kwa B.Com wote except Accounting major na 1.5 kwa B.Com Accounting na hyo sio Lazma ulpe yote ni inalpwa kwa semester.. Michango Mingne ni inaitwa Direct University Cost ambayo ni 74,900/= ukijumlsha hapo ni itafka 1.97 kweli kaka!! Ipitie vzuri document iliyoandkwa Pre-Orientation Information au km unataka kusaidiwa zaid uliza hapa.. Na kuhusu usajili ni kwamba sio 1st & 2nd Oct tuu, ni utaweza kufanya siku yoyote within 2 weeks toka 1st Octber..

Mwaka Huu kweli Kazi Ipo..

usitumie uzoefu naomba usome tena nimelielewa hata kama ni kiingereza nimerudia na nimelielewa ni 1.97...mil ukijumlisha hivyo sijakisia nimesoma naomba urudie tena na nimeongelea kwa ujumla wake kuhusu Udsm b.com.

mkuu hata kama ada ni 1.5 sidhan hyo michango mingne inaweza kufikia 0.47, labda unambie nin kimeongezeka ukitoa hyo 0.0074500.

kwa mengineyo Ingia Website ya UDSM soma Announcements iliyotolewa kuna mchanganuo.

usitumie uzoefu naomba usome tena nimelielewa hata kama ni kiingereza nimerudia na nimelielewa ni 1.97...mil ukijumlisha hivyo sijakisia nimesoma naomba urudie tena na nimeongelea kwa ujumla wake kuhusu Udsm b.com.
Mkuu acha ubishi mbona jamaa kakuelewesha poa michango mingine mbali na ada ni 74,900/= cash nyingine unapewa wewe na bodi sio wewe unapay,hamna ada iliyopanda

Back
Top Bottom