Actress Brittany Murphy Dies | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Actress Brittany Murphy Dies

Discussion in 'Entertainment' started by jmushi1, Dec 21, 2009.

 1. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Very sad.....
   
 3. JS

  JS JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  very sad she was one of my favorites!!
  RIP Brittany Murphy
   
 4. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Rip
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  FRIENDS of Hollywood actress Brittany Murphy said she "definitely had a drug problem" amid fears she may have died from taking the same prescription drugs as Michael Jackson
  Murphy, 32, was reportedly hooked on prescription drugs, including Vicodin, after a series of plastic surgery operations made her dependent on painkillers.

  "We have been very worried something like this was about to happen," a friend told The Sun.

  "Brittany has been living life on the edge. She definitely had a drug problem and we have all begged her to seek help. Sadly our words fell on deaf ears."

  Murphy was taking prescription medication for flu-like symptoms she had been experiencing for several days, sources have told TMZ.

  The actress was very ill in the hours before she went into cardiac arrest and was taken to Cedars-Sinai Medical Centre, where she was pronounced dead on arrival at 10.04am local time (Monday 5.04am AEDT).

  TMZ reported Murphy began vomiting early Sunday morning and told family members she was feeling very sick.

  Various prescriptions were found in the home - written for Murphy, her husband Simon Monjack, and Murphy's mother.

  A source told TMZ: "There were a lot ... a lot of prescriptions in the house."

  Monjak has reportedly asked that officials do not conduct an autopsy on her, despite her death being shrouded in mystery.

  But despite his wishes, the LA County Coroner's office will perform an autopsy and toxicology report on the actress.

  Earlier, Assistant Chief Coroner Ed Winter said the cause of Murphy's death appeared "to be natural".

  Neighbour Clare Staples said she saw firefighters working to resuscitate the actress. She said Murphy was on a stretcher and "looked as though she was dead at the scene''.

  Monjak, wearing pyjama bottoms and no shoes, appeared "dazed'' as firefighters tried to save her, Staples said.

  "It's just tragic,'' she said.

  TMZ.com was the first to report Murphy's death, stating that her mother found the actress unconscious in the shower. The Los Angeles City Fire Department got a call from the home of Monjack.

  "In this time of sadness, the family thanks you for your love and support," a rep for Murphy said.

  Tributes were quickly posted on social networking site, Twitter, with Hollywood celebrities among some of the first to send condolences.

  Ashton Kutcher, who dated Murphy and starred alongside in Just Married, expressed his sadness to his 4 million twitter followers with the following message: "2day the world lost a little piece of sunshine. My deepest condolences go out 2 Brittany’s family, her husband, & her amazing mother Sharon. See you on the other side kid."

  Singer Jessica Simpson wrote: "Brittany Murphy was an incredible ray of Light to so many people. Her smile was contagious. My prayers are with her family and loved ones."

  Reality TV star Kim Kardashian said: "I am in shock that Britney Murphy has died! Clueless is my all time favorite movie. My prayers go out to her family & husband."

  Limp Bizkit singer Fred Durst: "RIP Brittany Murphy. What a sweet human being. My prayers are with her friends and family."

  Murphy starred in 8 Mile alongside Eminem and became a household name among teens in 1995 as the sidekick in Clueless.

  The Sun reports Murphy was reportedly fired from her last film, The Caller, following a series of altercations on the set of the Puerto Rico-based horror movie. Her husband was also allegedly involved in a scuffle with locals.

  http://www.news.com.au/entertainment/celebrity/actress-brittany-murphy-dead-at-32-tmz-report/story-e6frfmqi-1225812300053
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Muungwana mbona una-recycle newz? Angalia hapa.
   
 7. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wabongo bwana, hivi kila two bit Hollywood actress atakayejioverdose tutamuweka hapa?

  Wabongo wangapi wamekufa na kuumia kwenye tetemeko la ardhi Mbeya ? Tunajua? Tunafuatilia? Au kwa sababu hawana Hollywood glamor?
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Niliangalia page mbili za mwanzo na sikuuona ujumbe.

  MODS: Mkiweza basi futeni kabisa hii thread.
   
 9. c

  cesc Senior Member

  #9
  Dec 21, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  R.i.p
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Una uhakika gani kuwa mie ni MBONGO?

  Unafikiri kwa kuwa naandika Kiswahili na kujiita Sikonge basi nimeshakuwa Mbongo? Ni sawa na kuona ng'ombe mweusi na kusema hivyo bila kujua kumbe upande wa pili ana mabaka meupe.

  Mwisho ni kuwa binadamu wote husikitika kwa kifo/vifo vya watu wanaowafahamu. Juzijuzi hapa nilifiwa na baba mkubwa. Kijijini huko Sikonge yalikuwa mazishi makubwa sana hasa ukichukulia ni familia ya Mwanangwa. Hapa JF watu waliendelea na story kama hakikutokea kitu. Hata ningeliandika hapa, kuna mtu angelishituka? Zingeliandikwa POLE kadhaa na mchezo ukaisha. Ni tofauti hata tukisema "fulani wa JF" kauguwa kwani ni watu ambao ingawa simfahamu, ukweli ni kuwa ameshakuwa karibu na mimi kwa siku nyingi sasa.

  Huyu dada na yeye tumeshakuwa naye kwenye nyumba zetu mara kadhaa. Tumemuona na kusoma habari zake kwenye magazeti. Utake usitake ameshakuwa karibu yetu sisi ingawa yeye hatufahamu. Si yeye tu ila hata hapa Tanzania wapo wengi tu kama marehemu Gama (nilipata bahati ya kumuona na kama RC namshukuru sana kwani kuanzia niliposikia kahamishiwa Tabora, nilifahamu kuwa ataubadilisha Mkoa, na kweli. Nakumbuka kumuona wakisalimiana na Meja Odo wa Msange JKT wakati nikiwa JKT TAbora). Watu kama Amina Chifupa, Sokoine, Nyerere, James mwana wa Dandu, Ramadhani Lenny, School mates wangu Method Mogela na Salehe Sonda (wote wa Simba S.C.), Said Mwamba Kizota (homeboy), na wengine wengi.

  Sasa wewe unataka niwalilie watu wa Mbeya ambao hata sijawahi kuwasikia? Umenikumbusha ugomvi wa marehemu shangazi na marehemu baba. Kuna babu yetu sijui kivipi kwenye ukoo alihamia Mwanza na kufika huko akaowa mwanamke fulani na yule mama akafariki. Baba alisikia na akakaa kimya. Shangazi alipokuja kupata habari na yeye na kukuta kumbe kaka yake aliambiwa na hakusema akaja juu kwa Mzee kuwa kwa nini hakuambiwa. Baba akasema ehh, kwani ulikuwa unamfahamu? Shangazi kakaa kimya na ghafla akaruka na kusema "sasa itabidi tufanye msiba". Mzee alimjibu hivi: "kama unapenda sana kulilia watu, redio hiyo na ikifika jioni kuna matangazo ya vifo, chagua mmoja ambaye kifo chake au jina lake umelipenda na UMLILIE".

  Mkuu Bluray, kama wa Mbeya waliokufa kwa matetemeko wamekuuma sana, unaweza walilia au hata kujinyima mshahara wako wa mwezi mmoja na uwapelekee na hapo utakuwa umefanya jambo la maana. Sanasana ni kuwa JF kama kawaida, tutakuja na pole na RIP kibao na mwisho wa siku kila mtu anaenda kulala kwake na kusahau. Anyway, ndiyo uzuri wa forrum, ni kubwa saana, na kuna topic kibao unazoweza kuzisoma na kuzichangia. Na uzuri kichwa cha habari kimewekwa wazi na unapoingia unafahamu kabisa unaingia mlango upi. Kama ni wa choo na wewe ulitaka kwenda wa hotel, hapo si kosa letu tena na hakuna tunachoweza kukusaidia ili usiingie kwenye topic zenye kichwa cha habari kilicho wazi na wewe Bado unazamia na ukizamia unapata kichefuchefu...........
   
 11. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  I take it either unawapenda sana unaowaona kwenye TV au unapenda kulilia watu.

  Or possibly both.

  This is exactly the plague that is clogging the machinery of JF.
   
 12. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 2,068
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Mbona unajicontradict urself???mara wewe sio mbongo then unaleta story za kwenu kijijini!!!!!mara school mates zako!!!au wewe ni mkimbizi???
   
 13. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kweli nyani haoni ................
   
 14. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Aliyekuambia mtu akizaliwa Tanzania na kuwa na ndugu huko basi ni lazima awe ni Mbongo alikudanganya. Itabidi urudi ukamuulize vizuri.

  Hao school mate wangu itabidi usome vizuri ujumbe, kama huelewi basi "Kawawa funika kikombe".

  Sasa ya UKIMBIZI yanatoka wapi? Kuwa mkimbizi siyo dhambi au kuwa mtu wa kudharauliwa. Kumbuka hata Albert Einstein alikuwa mkimbizi.
   
 15. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hata yule anayesema nyani haoni .... anaweza kuwa haoni ....
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  This is very interesting.......
   
 17. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Where by X = nyani (c) + Nyani (d).

  Merry X-Mas and Happy New Year.
   
 18. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Looping ad infinitum in a groundhog day.
   
 19. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Imekugusa au imeku-touch?

  Anyway, hii topic naona imefulia. Noyaga.
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mhh.
   
Loading...