Usher Raymond tours Serengeti, Tanzania

wiser1

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
2,468
3,643
Hawa watu wako Tanzania kutalii, wametokea Kenya ila wanashangaa Tanzania kuzuri zaidi ya Kenya. Sijui safari hii utalii watawatumiaje watu hawa ili kuweza kusafisha nyota ya nchi huko majuu.

Nimeshangaa kuwaona maana siunajua tena ushamba fulani kuwaona watu wa mamtoni live bila chenga.

Navizia kapicha nikiwanasa nawalipua tu, nitakaleta hapa ili wadau mle hata kwa macho tu.

------
Yes! Its Usher Raymond you know! He is in Tanzania at Serengeti National Park!

America singer Usher Raymond is in the country visiting the Serengeti National Park. Mr Raymond posted some pictures with his family on his Twitter handle. He described the moment as 'amazing, so happy to experience this beauty with my family," he wrote.

Following the reports of Usher Raymond's visit in Tanzania went viral on social networks, other world celebrities like, the former Manchester United and Real Madrid player, David Beckham, a former Liverpool player Mamadou Sakho, Everton player Morgan Schneiderlin, to mention few, touring the country's tourist's sites this year. Tanzanian tourist sites like Serengeti National park and Mount Kilimanjaro are the leading most eye-catching tourist sites where majority of the world celebrities have recently toured.

The list of International stars who visited Tanzania 2017 is quite impressive now!
1. David Beckham
2. Morgan Schneiderlin
3. Mamadou Sakho
4. Victor Wanyama
5. Christian Erikssen
6. Wayne Rooney & Everton fv
7. Will Smith
8. Usher Raymond.

Who else??

Picha/Video zikmuonesha Usher Raymond akiwa Tanzania

index.jpeg

DEeJuOhXcAAWvPM.jpg
 
Hawa watu wako Tz kutalii, wametokea Kenya ila wanashangaa Tanzania kuzuri zaidi ya Kenya. Sijui safari hii utalii watawatumiaje watu hawa ili kuweza kusafisha nyota ya nchi huko majuu.

Nimeshangaa kuwaona maana siunajua tena ushamba flani kuwaona watu wa mamtoni live bila chenga.

Navizia kapicha nikiwanasa nawalipua tu, nitakaleta hapa ili wadau mle hata kwa macho tu.
Watanzania wengine hamkawii kutaka kuwafungia mbugani hao watu ili wao nao wawe kivutio cha watalii.

Sent from my Kimulimuli
 
Watanzania wengine hamkawii kutaka kuwafungia mbugani hao watu ili wao nao wawe kivutio cha watalii.

Sent from my Kimulimuli
Kitasaidia kuinua utalii wa Ndani, hata Rooney naye akafungiwe tu Serengeti.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
THURSDAY, JULY 13, 2017
Usher Raymond tours Serengeti


usher+pic.jpg



In Summary
American singer and actor Usher Raymond is in Tanzania touring the Serengeti National Park, he follows a long list of famous celebrities whom just this year have toured the country’s tourist sites, it includes former Manchester United and Real Madrid player, David Beckham, a former Liverpool player Mamadou Sakho and Everton player Morgan Schneiderlin.

By John Namkwahe @johnteck3 jnamkwahe@tz.nationmedia.com

Dar es Salaam. America singer Usher Raymond is in the country visiting the Serengeti National Park.

Mr Raymond posted some pictures with his family on his Twitter handle.

He described the moment as ‘amazing, so happy to experience this beauty with my family," he wrote.

Following the reports of Usher Raymond's visit in Tanzania went viral on social networks, other world celebrities like, the former Manchester United and Real Madrid player, David Beckham, a former Liverpool player Mamadou Sakho, Everton player Morgan Schneiderlin, to mention few, touring the country’s tourist’s sites this year.

Tanzanian tourist sites like Serengeti national park and Mount Kilimanjaro are the leading most eye-catching tourist sites where majority of the world celebrities have recently toured.
 
welcome Usher, cant wait to meet Rihanna, she was in Malawi (not for tourism), i thought angefika mpk huku, but will invite her myself, lol

Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
 
Sasa tufanye utaratibu wawe wanatua hapa Bongo moja kwa moja na sio wanatua kenya kisha wanaletwa na mawakala wa kenya.

Kama ni kutua kenya iwe kama njia tu wanatua kisha wanaruka kuja Tanzania.

Mawakala wa Kenya wanaodanganya Serengeti iko kwao na Kilimanjaro kisha watalii wanakuja kenya alafu wanawaleta Tanzania, kuwe na utaratibu wa kutoza kodi kubwa mawakala wa Kenya wanapowaleta watalii Tanzania.

Ili wawe wakweli wanapopata watalii, wawaambie ukweli ili mtalii achague moja, kuja moja kwa moja Bongo au kupitia kenya kisha atozwe gharama kubwa.
 
Sasa tufanye utaratibu wawe wanatua hapa Bongo moja kwa moja na sio wanatua kenya kisha wanaletwa na mawakala wa kenya.

Kama ni kutua kenya iwe kama njia tu wanatua kisha wanaruka kuja Tanzania.

Mawakala wa Kenya wanaodanganya Serengeti iko kwao na Kilimanjaro kisha watalii wanakuja kenya alafu wanawaleta Tanzania, kuwe na utaratibu wa kutoza kodi kubwa mawakala wa Kenya wanapowaleta watalii Tanzania.

Ili wawe wakweli wanapopata watalii, wawaambie ukweli ili mtalii achague moja, kuja moja kwa moja Bongo au kupitia kenya kisha atozwe gharama kubwa.
Unadhani wao ni wajinga wanaweza panda bombadia. Yan hata wakipata ajali ndani ya bombadia insurance company zao zinaweza kataa kuwacompasate sababu na uzembe wao wa kufikiri.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Fursa adimu sana hizi.Tatizo hatujitangazi ipaswavyo.Ilipaswa hata wale kina rooney wavutiwe kwenda hata kilimanjaro pale

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom