Uhuru Cape
Member
- Nov 1, 2016
- 48
- 124
Katika ziara ya Acting CGP wa magereza jana katika magereza ya mkoa wa Morogoro aliulizwa swali na askari ni kwanini jeshi la magereza linaajiri watu wenye taaluma tofauti na hawalipi kutokana na taaluma zao?
Jibu lake eti niwalipe kutokana na elimu zenu ili muwazarau askari wangu wenye elimu ya darasa la 7 na IV ambao kwa mwaka hu nataka kuwapeleka kozi ya nyota moja.
Sasa hilo ndo jibu la kiongozi anayeitwa Dr kweli? Magereza pale makao makuu kuna majipu mengi sana, Mwigulu tusaidie askari wako.